Kikwete ame double kimapato-Pinda Bungeni, congrt. ma presida

BURAKEYE

Member
Dec 17, 2010
22
1
Jamani eeh Mnyonge Mnyongeni haki yake mumpe, jamaa yupo juu katika kukusanya mapato , kwa kifupi anatisha!

Big up JK, kata domodomo hizi, nakusifa kwa kuweka urasimu ktk kusamehe kodi kwa NGO NA mashirika ya dini, BAJETI IJAYO samehe kodi kwa Qurani na biblia tu, mengine yoote lipeni, eboo nchi haijengwi kwa maneno!, kuna yule mwenzako alipandisha mapato kwa kuuza kila rasilimali, wewe usifanye hivyo , wewe ni mzalendo nakujua, mambo ya dowans hayo ni ya ccm na ushindi wenu wa kishindo! ila wewe ni msafi, narudia tena ni msafi. Utakumbana na vikwazo vingi kutoka kwa maaskofu wanaoingiza magari binafsi na ya biashara kupitia misamaha ya kodi lakini komaa kiume, huyo PM wako si wa kumshirikisha katika hili, usiondoke ondoke atamuomba msamaha hadi Kakobe! , CONGRATULATIONS!

najua wengi mtasema tatizo ni matumizi, mpo bungeni sasa , ingieni na agenda binafsi ya kupunguza mishahara,viinua mgongo kwa wabunge na posho siziso na hesabu , bila kusahau ruzuku ya seriakli kwa vyama vya siasa.jamani tujenge nchi, Ikulu mtafika kwa mipango sio kukurupuka
 
Kama anataka kutoa point hivi then net inakata...sijamuelewa.
Hivi chumvi bei gani?
 
Hivi tatizo ni net connection au uelewa na uwezo wako wa kueleza unachotaka watu waelewe..... sababu hueleweki???
 
Hivi tatizo ni net connection au uelewa na uwezo wako wa kueleza unachotaka watu waelewe..... sababu hueleweki???


i thought nilipojiunga membership JF nakutana na watu wanaoelewa, kama huelewi simple tashtiti kama hiyo hapo juu kipi utaelewa ? but i know Mnaelewa lakini hamtaki kukubali, KIKWETE ameweza kukusanya mapato kuliko rais yeyote aliyetangulia Tanzania! pamoja na maneno mbofu mbofu kutoka kwa maadui zake kisiasa kama mlio wengi hapa JF
 
Unaweza kukusanya kupita hata nchi zilizoendelea lakini kama huzibi matundu yanayovujisha hayo makusanyo, hayo makusanyo yako si kitu. Hivi hayo makusanyo yanafanya kazi gani so far?
 
huwezi elewa, sikia hii, SLAA AMEVUNJIKA MKONO MALIWATONI KWA AJILI YA TILES!

Mie nasikia kulikuwa na ugomvi na demu wake, yule ambae hajamuoa wanaezini tu. Na jimama likampa kichapo mpaka likavunja mkono. Sasa kitu kama hiyo si unajuwa hawezi kuitangaza ndio akatwambia ma-tiles. Ingekuwa ma-tiles ndio yaliomwangusha mpaka kuvunjika mkono si angesha wapeleka mahakamani hiyo hoteli.
 
BURAKEYE, nakubaliana na wewe mia kwa mia. Na si mapato tu, tukianza ku-listi mafanikio ya Kikwete kwa muda wake mfupi kama kiongozi wa nchi, yanayosononeka na mafanikio utayaona yanavyochakachuwa, naanza:

1) Ma Universty Mengi kwa wakati mfupi wa Kikwete kuliko awamu yoyote ile, pamoja na mkoloni! Jee, na hilo hamlioni?
 
Mie nasikia kulikuwa na ugomvi na demu wake, yule ambae hajamuoa wanaezini tu. Na jimama likampa kichapo mpaka likavunja mkono. Sasa kitu kama hiyo si unajuwa hawezi kuitangaza ndio akatwambia ma-tiles. Ingekuwa ma-tiles ndio yaliomwangusha mpaka kuvunjika mkono si angesha wapeleka mahakamani hiyo hoteli.
Nje ya mada!!
 
Back
Top Bottom