Ni vigezo gani vinatumika kuwaajiri wafanyakazi wa Customer Care kwenye makampuni ya simu?
Napenda sana hiyo kazi ila sijui elimu yake na vigezo vingine kama uzoefu wa kazi na kadhalika.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita ila sina uelewa wowote kwenye kozi mana hatukupewa elimu yoyote kuhusu kozi, Sasa nimechaguliwa UDSM -Bsc.Busness information tech, ila sielewi hii kozi badae nakua mtu gani.
Hapa nafikiri nibadili kozi niende education, mana inaeleweka nitakuwa mwalimu labda...
nimemaliza vi nina point 10 matokeo nimesoma EGM combination napenda IT au computer science ila cjajua kama nina vigezo na kama sina naombeni.ushuri ni kitu gani nisome chuo kitakachonipa manufaa matokeo yangu
ni Economics=C,Geography=D,Mathematics=C
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.