DISCUSSION

bunyua

Member
Joined
Dec 29, 2018
Messages
16
Points
45

bunyua

Member
Joined Dec 29, 2018
16 45
Jaman naomben msaada ushauri wa kuchagua coarse chuoni napenda nisome mambo ya web design na vinginevyo lakin cjajua kama soko la ajira liko vizuri sasa naomba msaada kwa wakongwe
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,502
Points
2,000

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,502 2,000
Andika upya elezea uko level gani kielimu... Uko interested na vitu gani na ulishawah kufanya vitu gani before...

Elezea unaenda somea degree diploma au veta..;?

Toa maelezo yanayotosheleza watu wakupe ushauri
 
bunyua

Member
Joined
Dec 29, 2018
Messages
16
Points
45

bunyua

Member
Joined Dec 29, 2018
16 45
nimemaliza vi nina point 10 matokeo nimesoma EGM combination napenda IT au computer science ila cjajua kama nina vigezo na kama sina naombeni.ushuri ni kitu gani nisome chuo kitakachonipa manufaa matokeo yangu
ni Economics=C,Geography=D,Mathematics=C
Andika upya elezea uko level gani kielimu... Uko interested na vitu gani na ulishawah kufanya vitu gani before...

Elezea unaenda somea degree diploma au veta..;?

Toa maelezo yanayotosheleza watu wakupe ushauri
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,502
Points
2,000

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,502 2,000
Umepass vizuur na vigezo vyoote vinatosha kwa chuo choote tanzania kwa izo kozi...

Cha msingi kuhusu ajira hakuna anayeweza kutabiri maana leo haiwez kuwa sawa na miaka mitatu au minne ijayo baada ya wewe kumaliza shule.

Kitu pekee cha kukushaur ni kutengeneza iyo elimu yako uweze kufanya maisha kwa kujitegemea.

Mtu wa it au computer science unahitaji pc na printer tu kuanza kutengeneza pesa kupitia elimu yako bila kuajiriwa.

Kaza. Usisome kutegemea ajira.. Mambo ni magumu
nimemaliza vi nina point 10 matokeo nimesoma EGM combination napenda IT au computer science ila cjajua kama nina vigezo na kama sina naombeni.ushuri ni kitu gani nisome chuo kitakachonipa manufaa matokeo yangu
ni Economics=C,Geography=D,Mathematics=C
 
de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
552
Points
500

de98

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
552 500
Kasome computer science, kwasababu yenyewe huchukua kila aina ya kozi anazopaswa kusoma mtu aina yeyote anaependa mambo ya IT, inagusa kila kona ya IT unayoijua wewe

Na chuo kitakacho kufaa ni udom pekee!

#Embracing IT knowledge

Usijali watakao kwambia udom is nothing,

Am assure you will never forget my word!
 
Forum statistics

Threads 1,353,259
Members 518,297
Posts 33,075,704
Top