Kabla sijaoa nilikuwa naongea na mama kila siku, at least haikuwa mara nyingi kwa siku but kila siku, aidha nipige au yy apige, ilikuwa kawaida yetu'!! Note that
Baada ya kuoa, mama alinambia "mwanangu umekua, na utakuwa na familia, unahitaji kutumia muda wako mwingi kuifikiria familia yako...