Mimi nimeota mtoto mdogo wa darasa la saba amekuja chumbani kwangu katika kupiga piga story yule mtoto akanionesha dalili ya mwanamke ambaye ananitaka.sasa mi nipo napiga nae story huku najiuliza huyu mtoto vipi?mbona anataka mambo ya kikubwa na wakati yeye ni mtoto?sasa wakati tunaagana...
Wee utakua uliangalia ukiwa una sinzia aki.jamaa alichukua begi akajaza hela akaenda kumchukua yule mdogo ake na yule demu alichomwa na chupa akampeleka kwa mama ake au unamaanisha nini unaposema jamaa hakuchukua hela au mama yake hakufaidi?na wakati alipanda hadi ndege kwenda kumfuata mtoto ake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.