Slaa is no body, mimi nilitarajia atusaidie wananchi tulio katika kipindi hiki cha kuelekea kupata viongozi wapya, kiongozi mkuu tumpateje? Vigezo vipi tuvitumie katika kumpata, maana kila anayepanda jukwaani tunaambiwa anakashifa. Ametumia mda mwingi kuchambua uchafu wa Lowassa na tumememwelewa...
Mimi ni MWL wa sekondari niko Manispaa ya Morogoro natafuta MWL wa kubadilishana naye mimi niende Manispaa ya Dodoma. Tafadhali ni PM tupeane mawasiliano
Sikuwahi kufikiria Nd. Kitila Mkumbo anaweza kuja na urojo kama huu akiuita ni uchambuzi wa makini kuhusu sakata lao la kuwafukuza uanachama kwa makosa yaliyowafukuza. Kwanza, naomba ndugu zangu wana JF mnielewe; nimemtaja Nd. badala ya Dr. Kitila kwa sababu, kuanzia sasa nimeanza kukubaliana na...
Katika hali isiyotarajiwa na iliyowafanya watu wengi kushangaa na kujikuta abiria wote wakianza kubishana kuhusu mambo ya siasa, imetokea leo majira ya saa 7 mchana ndani ya basi la ABOOD lililokuwa limebeba abiria kutoka Moro-Dar. Hali hiyo ilitokea pale ambapo mlemavu mmoja wa miguu aliyekuwa...
1
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENTS OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/E/13 06TH AUGUST, 2013
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the Ardhi Institute Morogoro,Community Development Training Institute
(TENGERU), Eastern Africa Statistical Training Centre...
Amini msiamini naona kila dalili za CHADEMA KUINGIA IKULU 2015. Wananchi tunachokitaka ni kuondoa u-mwinyi na ufalme wa viongozi wa CCM ulokuwa umejengeka maana unakera mno. Kiongozi wa CCM utafikiri yeye ndo amesoma sana kiasi cha kuoneka sisi wananchi ni hovyohovyo tu. Now the end is near...
Hakika, CCM ina-wabunge ambao hawana sifa ya kuwa wabunge na wala si-wawakilishi wa wananchi. Hivi sasa wanapiga kura za kupitisha bajeti ya serikali lakini cha kushangaza, kwa kuwa wabunge wa CDM hawapo bungeni, kila mbunge wa CDM akitajwa jina kuna viherehere vya kina mama vinaropoka kwa...
Portfolio siyo ya kuandika isipokuwa ni faili lako lenye mkusanyiko wa shughuli zako ulizokuwa unafanya, kwa mfano wewe kama ni banker lazima utakuwa na faili lako la nyumbani linalokusanya shughuli zako zote za kiofisi na barua zozote ulizowahi pengine kupewa kama promotion au ufanyakazi bora.~...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - MKOA WA MANYARA
RATIBA YA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CHAMA TAIFA
MH. NDG. WILBROAD PETER SLAA
TAREHE MUDA TUKIO SEHEMU WILAYA/JIMBO
5/18/2013 Kuwasili Ofisi ya Mkoa Babati Manyara
8mch - 12 Jioni Mkutano wa Hadhara viwanja vya Kwaraa Babati Babati...
This is about writing what you intend to do in your life or in your career. A statement of purpose also should give reasons as to why you choose to do in whatever you are doing or choosing. The best way of understanding what you want is to list down as many as possible the things you would like...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.