Recent content by Bungoloshe

  1. B

    Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

    Lakini mkuu usisahau kuwa mweshimiwa Kafulila ameyasema hayo akiwa bungeni na pia kaendelea kuyasema akiwa nje ya bunge. Kwa hy nafikiri kinga yake inakomea ndani ya ukumbi wa bunge tu. Au hata akiwa nje ya bunge( mtaani ) bado anakuwa na hy kinga ya bunge?
  2. B

    Nyalandu aifanyia kazi video ya Mch. Msigwa

    Ataitwa msaliti sasa hivi....
  3. B

    Dkt.Slaa: Sihudhurii sherehe za kitaifa kwasababu zinatumia gharama kubwa

    Kwa hiyo CHADEMA ikipewa dhamana na wananchi wa ''Tanganyika'' yakuongoza dola la Tanganyika kutakuwa hakuna sherehe au maadhimisho yoyote ya kitaifa? Hata sherehe za kukumbuka siku Tanganyika ilipopata uhuru mtazifuta?
  4. B

    Jicho ndani ya habari startv, Moses apwaya sana

    Mmhhhh jamani hv hata gazeti la tanzania daima unaweza kusema ni chombo huru cha habari?
  5. B

    Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

    Wauibe waupeleke wapi? Sijawai hata kusoma kwenye vitabi vua historia. Au ndo kusema baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kila kitu cha Tanganyika kikazikwa?
  6. B

    Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

    Kwahiyo ndo kusema kwamba baada ya Tanganyika kupata uhuru huu wimbo wa sasa wa ''Mungu ibariki Tanzania.....''''' ulikuwa wa Tanganyika? Na baada ya kuungana na Zanzibar ukatumika huo huo ila penye Tanganyika wakaweka Tanzania?
  7. B

    Mwl. Kambarage Nyerere alitayarishwa!

    Duuuuuuuu ebwanae hiyo nayo kali. Sasa kama waingereza walimtayarisha na yeye alikuwa anatekeleza matakwa yao mbona tunabiwa au kusoma ktk historia kuwa kna wakati hao waingereza walimfungulia mashtaka kuwa anaenda kinyume na sheria zao? Yaani kuwa alikuwa anaupinga utawala wa wazungu? Na kes...
  8. B

    Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

    Habari wanajamvi wenzangu. Mm nina swali nataka kujua. Je Tanganyika ilipopata uhuru kabla ya kuungana na Zanzibar ilikuwa na wimbo wake wa taifa? Maana tangu nakua sijawahi kusikia wimbo wa Tanganyika zaidi ya huu. ...."""" Mungu ibariki Tanzania.....""""" . Naomba mnijulishe watanzania wenzangu.
  9. B

    Hatari

    Hilo nalo neno mkuu
  10. B

    Ubaguzi huu utakoma lini?

    Kama ni kazi ya kidini kwa nini watangaze hadharani? Si wangetangaza makanisani mwao na wangepata waombaji humo humo makanisani??? Huu ni ubaguzi na ushindwe kabisa
  11. B

    Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

    Sasa kiongozi unaposema Mkapa alidanganya tarehe aliyokufa baba wa taifa mwalimu J. K. Nyerere , inamaana unajua tarehe halis aliyokufa mwalimu. Basi inapaswa kutuambia hiyo tarehe. Kuliko kuendelea kutupa ngonjera zako
Back
Top Bottom