Recent content by Bumela

  1. B

    Je, ana maana gani?

    Wewe unaathirika na nini kwa kununa kwake?? au umepata hasara gani??
  2. B

    Viva Tanzania, Viva Afande SACP Susan Kaganda, Rais Samia ni Msikivu

    Nimemkubali mwana Mama Shupavu Huyu
  3. B

    GE2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Hayo ni maneno yamkosaji,CCM inashinda sbh tu na mkandala akiangalia kwa macho yake yote mawili kama anayo!!!!!!
  4. B

    GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

    Wajumbe ni balaaa hata huku wako wanaendelea kuwashikishaadabu wasaliti. Wajumbe hoyeeeee !!!!!!!!!!!!
  5. B

    GE2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Sio kujitambua maneno ya mkosi hayo!!!!!
  6. B

    Chama kikuu cha upinzani mbadala wa CHADEMA chashindikana kuundwa nchini Tanzania

    Sawasawa Mkuu Pamoja sana na Tanzania YETU MPYA.
  7. B

    Chama kikuu cha upinzani mbadala wa CHADEMA chashindikana kuundwa nchini Tanzania

    Utasubiri sana mpaka umauti ukukute!!!!!!!!!!!
  8. B

    Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

    Huo ni UZINZI na wote wafanyao hayo ni JEHANAMU ya MOTO.
  9. B

    Chato kupo hivi. Je, hii ngozi haivutwi mno?

    MWambie huyo hajui maana ya maendeleo. Ndio wale wanaopima maendeleo sebuleni kwao.
  10. B

    Chato kupo hivi. Je, hii ngozi haivutwi mno?

    Mpe huyooooo!!!!!!!!
  11. B

    Chama kikuu cha upinzani mbadala wa CHADEMA chashindikana kuundwa nchini Tanzania

    Mwenye macho haambiwi tazama, kama huoni we kipofu!!!!!!
  12. B

    Chama kikuu cha upinzani mbadala wa CHADEMA chashindikana kuundwa nchini Tanzania

    Huo Muhimili wa 4 na wenye nguvu umeandikwa wapi kwenye KATIBA yetu?
  13. B

    Makapuku Forum

    Yaani ni kweli kabisa, kwetu mtu akikuita KAPUKU amekudharau sana na mnaweza kupigana. Bibi yangu zamani za miaka ya 80 ukifanya jambo ambalo halina ufahamu ndani yake (yaani ukikosea) atakuita jina hilo la KAPUKU. Na mimi nashauri kama Group hili ni la manufaa mazuri na ni la watu makini...
  14. B

    Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Aaaa hapo sasa kwa issue kama hii ulitaka aende akakutane na nani? Waziri wa nishati na madini?Au Waziri Mkuu?Kumbuka Ripoti hizi zinashikiliwa na Raisi, na alieomba kuonana na Naye ni Balozi na sio huyo unaemtaja.
Back
Top Bottom