Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

Nitalala usingizi mnono sana leo.
Siyo kwa furaha hii niliyonayo.
Membe Alipotoka Kuhojiwa Na Viongozi Wa Ccm, Alisema Nakwenda Hotel Na Mke Wangu Tunakwenda Kula Chakula Kitamu Sana!!

Kikwete Alipokuwa Mnazi Mmoja Lumumba Alisema
Naondoka Miye Mpole Dawa Ni Kuleta Mkali
Chuma Hiki 😀😁Sasa Kimeanza Kutema Che ~Che 🤗🤗
Miye Nchi Ikiwa Mikononi Mwa Huyu Nitalala Usingizi Mnono
 
Tundu lisu kapata kura 405 Lazaro nyalandu kura 39 Marryrose Majige kura moja.Lazaro rudi kwenu kumenoga hawakutaki huko.
Wajumbe ni balaaa hata huku wako wanaendelea kuwashikishaadabu wasaliti. Wajumbe hoyeeeee !!!!!!!!!!!!
 
Endeleeni kuota. Fikiria 2015 mlikua na Mamvi bado mkakaa itakua 2020

Sio Lowasa pekee yake pia CUF iliyokuwa imara plus NCCR Mageuzi. 2015 nguvu kubwa iliongezwa na Lowasa na Ukawa, bila hivo huwezi kupata hata 15%. 2020 hali itakuwa mbaya zaidi maana Lowasa hayupo, Ukawa hawapo kila mmoja atachukua watu wake, ACT watapunguza kula plus mwaka huu hakuna hamasa ya wapiga kura kama 2015.
 
Anachanja Tena? Kweli Ufipa wamejaa misukule. Uchumi wa Kati tayari, National Carrier, SGR, Stiglers Gorge n.k
Uchumi wa kati unatusaidia nini wakati asilimia 65 ni masikini wa kutupwa, acheni porojo zenu hizo za kwenye majukwaa.
 
Huyu kamanda Lazaro Samuel Nyalandu tunamhitaji katika serikali yetu mpya, anafaa nafasi za kidiplomasia kama balozi au hata waziri wa Mambo ya Nje.
Hapo ndipo naipenda SIASA na serikali mpya ishaanza kuundwa.
 
Sio Lowasa pekee yake pia CUF iliyokuwa imara plus NCCR Mageuzi. 2015 nguvu kubwa iliongezwa na Lowasa na Ukawa, bila hivo huwezi kupata hata 15%. 2020 hali itakuwa mbaya zaidi maana Lowasa hayupo, Ukawa hawapo kila mmoja atachukua watu wake, ACT watapunguza kula plus mwaka huu hakuna hamasa ya wapiga kura kama 2015.
Hao ambao hawana hamasa ya kupiga kula ni akina Nani?

MTU hadi kusema sipigi kula tena anakuwa anakuunga mkono au kaamua kukuacha kwa sababu hana la kufanya?

Siasa ni mchezo .

MTU anakula,Jezi anavaa ,Mziki anacheza,Posho anapokea. Kula anakunyima.

Lolote linaweza kutokea mchezoni.

Tuvuke salama uchaguzi mkuu Amini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom