Recent content by Bullycheka

  1. Bullycheka

    Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro

    Ndugu hakuna utafiti km wa aina hiyo unafanyika bila serikali kujua. Awe mgeni (kampuni) au mwenyeji. Hivyo kuuliza serikali haijui ni ufinyo tu wa kufikiria, ww unadhani wanaweza vipi kutembea maeneo hayo kitafiti bila serikali, ya kuanzia kijiji,wilaya mkoa kujua?
  2. Bullycheka

    Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Huo ni utumwa wa fikra, mchumia tumbo kawapata watu wake anawakamua haswa.
  3. Bullycheka

    Thamani ya wazawa yaonekana kwa klabu ya Simba

    Kivopi kushuka daraja kwa kusajili wazawa? Kweli unajitambua kwani kanuni inasemaje timu kuwa na wachezaji wangapi wa ndani na wa nje ni wangapi? Je nyie utopolo mnaowachezaji wa ngapi wazawa na wageni wangapi? Jitambue
  4. Bullycheka

    Kwa wale mliokua mkisema Messi alikua anazungukwa na wachezaji wazuri Barcelona

    Umesahau akiwa BARCA alivyokuwa akiwageuza kama chapati team pendwa za huko unapotetea England? Pale England ligi pendwa karibia wote mlilia na kupewa presha na huyo MESSI? Unamkumbuka yule mzee wa team pendwa alivyokuwa anatetemeka siku ile? Mpk leo yule mzee ni mgonjwa kisa LAPURGA (MESSI)...
  5. Bullycheka

    Hebu tuache kuzaana sasa, hali ni ngumu

    KAMA USINGEZALIWA WEWE HAYA UNGEYAANDIKA WAPI LEO HII, AU NAWE KIAKILI UPO UPANDE WA AKINA ILLUMINATE?
  6. Bullycheka

    CUF Zanzibar yamtaka Prof. Lipumba kujiondoa ili kukinusuru chama hicho

    Miongoni mwa wanasiasa feki huyu professor Pumba ni moja wapo, sijui huo usomi wake aliupataje huwa anajidhalilisha sana ,tena ni mlaini kununuliwa hata rejareja. Kadri siku ziendavyo mtazidi kumjua sie tulishamuona hata kabla ya walio nae wengine hawajazaliwa, miaka ile ya 1990 enzi za James...
  7. Bullycheka

    Nimekula vyakula vya kishirikina

    Mara nyingi wanasema wahindi upenda kuwapa wafanya kazi wao nazi za kishirikina kuwapumbaza na ukikataa hawakupendi. Sijui km huwa kuna ushirikiana wa waziwazi vile? Sent from my Infinix X559 using JamiiForums mobile app
  8. Bullycheka

    Croatia Kolinda Grabar-Kitarović: Hakuna namna tunaweza kumualika Rais huyu mrembo akaja kutung'arishia vivutio vyetu?

    Support, support, support saaaaaana kwa idea yako Kali sana ila wasiwasi wangu die wadogo hata tutoapo wazo km ili wakubwa fulani wanachukuwa file lako na kuweka uvunguni mwa droo yao. Ila km tunaye balozi ktk nchi ya Croatia (sidhani) au ukanda huo haswa Russia afanye mchakato wa kidiplomasia...
  9. Bullycheka

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Ndege ya KLM IPO ANGAN INASHUKA IPO KM FT 10,100 INAKARIBIA KUTUA HAPO DAR NDO KOCHA WENU KAIZE YUPO NDAN HAPO BADO KM DAKIKA 21 USIKU HUU YA TAR 15/10/2020. MPOKEENI NYIE WASHAMBA NIMEWASHTUA ANZENI KUANGAZA MACHO JUU
  10. Bullycheka

    Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    MHE, TUNDU LISU MGOMBEA URAIS WA JMT KUPITIA CHADEMA. MIE NAULIZA JE,IKITOKEA UKAWA RAIS WA TANZANIA UNADHANI NI YAPI UTAKAYOYAENDEZA YALIYOANZISHA NA CCM KIMAENDELEO NA YAPI UTAYAACHA NA KUYASITISHA? PILI, JE UNAKUMBUKA NI YAPI YALIYOMEGWA NA SERIKALI YA CCM KUTOKA KWA SERA ZA CHADEMA NA...
  11. Bullycheka

    Watu weusi Marekani wanazidi kufanya Waafrika kuonekana washenzi Duniani

    Hata sie tunamalizana wenyewe kwa wenyewe, au haujawahi kuona
  12. Bullycheka

    Majina ya Vituo vya Mabasi Arusha yana mvuto wa kipekee tofauti na Mikoa mingine

    Majina yote hayo ya vituo vya daladala (haice kwa hapa arusha) ni majina ya watu na vielelezo vilivyokuwepo wakt vituo hivyo vikianzishwa. Hivyo kwa wale wanaojua waanze kutoa maana na kisa cha vituo hivyo kuitwa. Mf kwa muorombo inasemekana kuna muorombo moja (mchaga) alianzisha biashara ya...
  13. Bullycheka

    Nilikuwa nakula sana ndimi za ng'ombe

    Kweli ni pumba. Wewe kijijini ulimi zote hizo hata usishtukiwe kwa biashara chafu hivyo? Hata ng'ombe wasionyeshe dalili ya kuumwa maana ulimi ni kiumbe cha maumivu sana kikikatwa. Pili, hao wanakijiji wasikuulize kila siku unapata ulimi wapi maana ng'ombe kijijini kuchinjwa kwa wingi mpk upate...
  14. Bullycheka

    Kuna hatari kubwa inakuja, chukua tahadhari na fanya maandalizi

    Kaongea point si kutishiana chukua tahadhari tujifunze kwa wenzetu. Yawezekana paktokea siku moja ukamkumbuka sana huyu unayemdharahu leo na kusema TUNATISHIANA!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bullycheka

    Usabato mgumu, lesoni za kupitia kila siku zimenishinda kwakweli

    Laaa yaani unapotosha sana hayo unayosema hakuna ukweli uliosema hapo. Unajidhalilisha mwenyewe kwa uongo wako huo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom