Watu weusi Marekani wanazidi kufanya Waafrika kuonekana washenzi Duniani

Hilo ndilo tatizo la waafrika! Kuchoma nyumba na kuharibu mali za wasiohusika is not acceptable! tayari una cement mnachokipigania kuwa mnapashwa kubaguliwa maana nyie ni sub human!

Ukisha kuwa na ngozi nyeusi basi, umelaaniwa na shetani. kama unavyoona hapa kwetu kinachoendelea na tawala zetu! Ushetani kabisa!
Naona aibu sana kwa yanayotendwa na weusi Marekani
 
Naunga mkono maandamano yanayoendelea USA hii iwe somo kwa watu wabaguzi,kinachoniuma wazungu walitutawala then wakaondoka sasa hivi kuna mkoloni kutoka china
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi

Mkuu inawezekana kabisa utatumia simu ya black and white maana ungekuwa unatumia simu ya kawaida ungeona wazungu walikuwa wengi kuliko hata hao black America unaowazungumzia
 
Hakuna Bana wale wanajaribu kuchukua walichoiba wazungu toka Africa, Sema njia tofauti
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi
Unathamini mali kuliko uhai wa mtu knina
 
Wewe wasema.ila wenzio hawataki hata kuitwa waafrica
Wakatae wakubali lkn huwezi change nature wao ni waafrica waishio amerika
Hata wazungu wa marekani wapo German America Aust america kutokana na asili yao walipo toka mababu zao
Lkn asili ya america origin ni Red indian ambaponao wanamakabila kama apparachian weng north america Gaucho wengi south america kama brazil na makabila meng ya wa red indian
Lkn ukisoma nyuma zaidi kipindi cha gunguanaland nao ni wahamiaji from ero asia maeneo ya india urusi nk
 
asili kwao ni historia ILIYOPITA.

Mkuu mbona hata wazungu nao wanaonekana kwenye picha na videos wakichoma tena wengi tuu zaidi ya waafrica...
Ile migomo na maandamano ya wanafumzi wahuni nao huingia.Hivyo wazungu,wachina,wahindi kujiunga na waafrika sio ajabu kwa sababu ni binadamu.Wapo wazungu wameoa/olewa na weusi.Suala kuua ni chukizo kwa binadamu.Sualavla wazungu kuandamana la kibinadamu zaidi.Luna wazungu wameamua hats kuhamia Afrika kwa upendo tu.Luna waafrika bado wanawapenda wazungu hats wazungu wake waafrika.Tusi generalize kuwa wangu wrote wanawachukia weusi na weusi wo wanawachukia weupe.
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi
Kwenye zile vurugu hata wazungu walikuwepo!
 
Waache waadabishwe, wao ndio walikuja Africa kutuchokonoa tulikua tumeridhika na kuvaa magome ya miti, kuchezea mdako almasi, kuabudu miti na mapango, kulala kwenye nyumba za nyasi, na mengine mengi,

Kilichowafanya waje watuchokonoe ni nini kama haitoshi wakachukua baadhi wakapeleka huko huko kwao, walituonaje? Wanyama wa mwituni? Basi acha tuwararue hadi kila mtu ajue umuhimu wa kuishi maisha yake,

Wewe sasa hivi mchukue mtoto wa Simba mfuge kwako kwa manyanyaso na mateso halafu aje akue ndio utaona.
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi
Hilo ndilo tatizo la waafrika! Kuchoma nyumba na kuharibu mali za wasiohusika is not acceptable! tayari una cement mnachokipigania kuwa mnapashwa kubaguliwa maana nyie ni sub human!

Ukisha kuwa na ngozi nyeusi basi, umelaaniwa na shetani. kama unavyoona hapa kwetu kinachoendelea na tawala zetu! Ushetani kabisa!
Nyie tu ndio mmelaaniwa kati ta watu weusi duniani. Blacks people are blessed more than any other race.
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi
Sisi ni wavivu? Nani alijenga Ulaya. USA. km siyo mweusi? uko nyuma ya key hela hiyo ya Bundle, Computer, Umeme unajua nani anapata faida? umesota weee mchana kutwa kuuza vihepe na ka bundke ka mawazo mzungu amekula! Robo tatu ya Dhahabu Duniani inatoka Africa nani wachimbaji? nchi gani Africa ina nunua dhahabu? Almas! Africa inalisha Mabara yote!

Maandamano ni vita! popote Duniani vita ni uaribifu! uaribifu unalenga kukomesha white power! bhita ni bhita haichagui! Miaka 50 tu ya uhuru Africa yapendeza mbali na vita! wewe ndo mvivu wa kufikiri!
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi
Waambie wakafanye maandamano kama hayo Uarabuni.
 
Back
Top Bottom