Ndugu wataalam, nawasalimia sana.
Nimeformat SD CARD Ya CAMERA ambayo ilikuwa na picha nyingi muhimu na ningependa nizirejeshe. Nimepambana na recovery softwares nyingi za mtandaoni lkn zote nimeona ni za kulipia. Tafadhali naombeni msaada wetu ili niweze kurejesha vilivyopotea ndani ya ile SD...
Hiyo yeupe iliyoandikwa $660 OFF ni $4983. Hizo nyingine bei imechangamka lakini nimeziona ziko vizuri. JE KATI YA HIZO TATU. NIKOMAE NA IPI NDUGU ZANGU?
Kwa vile nimeshauriwa ninunue gari yenye mileage kuanzia 100,000 ila isizidi 160,000 bas nitachagua OUTLANDER inayoendana na hiyo bei mkuu wangu Yudasti na kaburungu
Wapendwa wanajamii Forum, nimekusanya kwa muda mrefu na nikafanikiwa kuwa na bajeti ya USD 5000 kwa ajili ya kununua gari. HII NI BILA KODI YA TRA. Gari ninayopenda na ambayo naiona nzuri kwa upande wangu ni MITSUBISHI OUTLANDER. Nimekuja kwenu ndugu zangu ili kuomba ushauri ili kufanikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.