Recent content by BUKURUUU

  1. B

    JamiiForums Tanzania Doctors Vs Engineers

    Tafuta nchi yoyote dunian iliyoendelea bila wahandisi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Doctors Vs Engineers

    Wahandisi ndio chachu ya maendeleo katika nchi yoyote ile iliyoendelea na inayoendelea
  3. B

    JamiiForums Tanzania DIT na MUST Kulikoni

    Tar 30 mwezi wa 10 ndio first year inatakiwa mripot kwa dit
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa kuhusu Bachelor ya mechanical Engineering DIT

    Main campus wanakaa diploma na bacherol mwaka wa mwisho first year hostel zao zipo nje ya chuo
  5. B

    JamiiForums Tanzania NIT wagoma, wadai boom na kulalamikia ubovu wa ratiba

    Nit pale mwaka wa masomo unaanza mwez wa 11 lakini darasan mnaanza kuingia mwezi wa 12 kwa nini hujaomba mechanical dit au ud
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

    Wenye div 2 wanaona wamefaulu sana wanakimbilia kuweka kozi zenye ushindan mkubwa wanaacha kuweka koz zisizokuwa na ushindan ata moja wewe unategemea utaacha kutemwa
  7. B

    JamiiForums Tanzania TCU LINI WATAWEKA WAZI

    Nyie subirin mtajua tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Medical Students are not Creative than engineering students?

    Au hujui ata kama vifaa vyote anavyotumia daktar kugundua ugonjwa vinatengenezwa na engineer
  9. B

    JamiiForums Tanzania Medical Students are not Creative than engineering students?

    Akikosea kujenga barabara si itaua watu weng ndio ijulikane kakosea
  10. B

    JamiiForums Tanzania Medical Students are not Creative than engineering students?

    Kosa moja la engineer linaweza kugarim maisha ya watu wengi engineer akikosea kudesign hao wagonjwa wanaweza kupukutika wengi sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayekijua chuo cha NIT

    Nit wako vzr sana kwenye koz za logistic and transport na automobile eng ni chuo ambacho ukiwafatilia walim unatoka na first class
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mechanical engineering vs biomedical engineering

    Mechanical ni kozi mama kwa engineering huwez kuifananisha na biomedical eng
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

    Kwa mishahara ya serikali kuu wafanyakaz wote ni TGS
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

    Mbona hiyo imeanzia TGS E wakat mwalim wa bacherol anaanzia na TGS D hiyo TGS E mpaka apande madaraja
Back
Top Bottom