Kusimamia mirad ya umeme pia designing inalipa sanamkuu unaweza kubainisha madili ambayo anaweza akapiga injinia nje ya ajira hasa electrical injinia
Kusimamia mirad ya umeme pia designing inalipa sanamkuu unaweza kubainisha madili ambayo anaweza akapiga injinia nje ya ajira hasa electrical injinia
Mkuu unanipa mzuka saana ndo nimetoka kuchukua kadiploma ka electrical engineering hapa nipo kitaa naangalia usawa GPA isiposoma 3.5 tutakutana mjini ntakutafuta unipe maujanjaEngineer hata mshahara wake ni mkubwa kuliko mwalim wa sayans maana mwalim mshahara anaanza na TGS D lkn engineer anaanza na TGS E. Afu engineer ana posho nying lkn mwalim izo posho atakutana nazo labda wakat wa mitihan ya kitaifa mimi nina diploma ya mechanical engineer lkn mwalim wa sayans hanigus kwa mshahara wala kwa posho mpaka rafiki angu mwalim mwaka huu kaaply kusoma engineering abadilishe field
Sasa ukimkuta engineer mwenye diploma yuko private sector ndo utaficha USO wako kabisaa watu wanalipwa 1.8 M walimu kwa engineering bado ingawa nawaheshimu saana walimu bila wao tusingefika hapaBasi kuna sehemu nyingine mwalimu mwenye degree analipwa 1.5M
Ukilinganisha vitu nadhani utumie criteria ambayo ni common,huwezi kuwalinganisha mmoja akiwa private mwingine government
Umesomea Dit pia ama?Mkuu unanipa mzuka saana ndo nimetoka kuchukua kadiploma ka electrical engineering hapa nipo kitaa naangalia usawa GPA isiposoma 3.5 tutakutana mjini ntakutafuta unipe maujanja
jamani....waraka wa last year naona mnaongea tu...Weeee hata kama kaajiriwa hebu nitajie Engineer yoyote anayelipwa chini ya million nchi hii? Halafu nitajie mwalimu mmoja tu wa shule ya serkali anayelipwa million ukishindwa bora ukae kimya!
St joseph mbeziUmesomea Dit pia ama?
Poa ivi wana bachelor pia apo?St joseph mbezi
IpooPoa ivi wana bachelor pia apo?
TATZO LA WABONGO WANAJUA KUKLEMISHA TU HATA MADAKTARI MISHAHARA YAO YAKAWAIDA SANABasi kuna sehemu nyingine mwalimu mwenye degree analipwa 1.5M
Ukilinganisha vitu nadhani utumie criteria ambayo ni common,huwezi kuwalinganisha mmoja akiwa private mwingine government
BACK TO THE TOPICWeeee hata kama kaajiriwa hebu nitajie Engineer yoyote anayelipwa chini ya million nchi hii? Halafu nitajie mwalimu mmoja tu wa shule ya serkali anayelipwa million ukishindwa bora ukae kimya!
Mbona hiyo imeanzia TGS E wakat mwalim wa bacherol anaanzia na TGS D hiyo TGS E mpaka apande madarajajamani....waraka wa last year naona mnaongea tu...View attachment 375187
Mkuu nimejibu post namba 39..mtu povu linamtoka eti hakn mhandasi anayelipwa chini ya milion moja na hakuna mwalim anayelipwa milioni TanzaniaMbona hiyo imeanzia TGS E wakat mwalim wa bacherol anaanzia na TGS D hiyo TGS E mpaka apande madaraja
Naona mmeanza kutudharau sasaEbu tusaidiane hv kati ya mwalimu wa sayansi sekondari na engeeneer nani ana fursa nyingi za kumake mkwanja nje ya mshahara.
MTOA MADA ANASEMA NJE YA MSHAHARA NANI ANAPIGA MKWANJA HEBU KUWENI WAELEWA KABLA HAMJAJIBU NDIO MAANA MNAFELI MITIHANI HIVI HIVI
Kumbuka kuna walimu wanafundisha mpaka shule tano,na kila shule achukui chini ya lak 7Uhandisi ni Taaluma ya pili kwa kupokea hela ndefu na dili kibao nje ya kazi nafikiri Siasa ni ya kwanza kwa kuingiza hela then waleta doctors Na wahasibu mwalimu hata askari tyu anamfunika haswa hawa trafiki
Hivi walimu na ma engineer wote ni TGS?Engineer hata mshahara wake ni mkubwa kuliko mwalim wa sayans maana mwalim mshahara anaanza na TGS D lkn engineer anaanza na TGS E. Afu engineer ana posho nying lkn mwalim izo posho atakutana nazo labda wakat wa mitihan ya kitaifa mimi nina diploma ya mechanical engineer lkn mwalim wa sayans hanigus kwa mshahara wala kwa posho mpaka rafiki angu mwalim mwaka huu kaaply kusoma engineering abadilishe field
na kumbuka kuna walimu wenye shule zaokama ameajiriwa basi hana tofauti na mwalimu lakini kama ni kampuni yake mwenyewe ndo inachukuwa tenda basi atakuwa amepga bao mwalimu