Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

Sasa ukimkuta engineer mwenye diploma yuko private sector ndo utaficha USO wako kabisaa watu wanalipwa 1.8 M walimu kwa engineering bado ingawa nawaheshimu saana walimu bila wao tusingefika hapa
hivi mtu mwenye diploma naye ni engineer?
 
Unafundisha shule gani? Unafundisha somo gani? Tuanzie hapo
mkuu mimi cyo mwalimu ila ninacho jua ni kuwa mtu mwenye NTA level 6 ambaoyo ndiyo diploma anatambulika kama technisian. na mwenye digree ndiye .ENG. kama nimekosea ruksa kukosolewa.
 
mkuu mimi cyo mwalimu ila ninacho jua ni kuwa mtu mwenye NTA level 6 ambaoyo ndiyo diploma anatambulika kama technisian. na mwenye digree ndiye .ENG. kama nimekosea ruksa kukosolewa.
NTA 4 Basic technician certificate
NTA 5 Full technician certificate
NTA 6 Diploma of engineering

Diploma ni engineer
Technician alieshia NTA5 au FTC kwa zamani
 
Engineer hata mshahara wake ni mkubwa kuliko mwalim wa sayans maana mwalim mshahara anaanza na TGS D lkn engineer anaanza na TGS E. Afu engineer ana posho nying lkn mwalim izo posho atakutana nazo labda wakat wa mitihan ya kitaifa mimi nina diploma ya mechanical engineer lkn mwalim wa sayans hanigus kwa mshahara wala kwa posho mpaka rafiki angu mwalim mwaka huu kaaply kusoma engineering abadilishe field
Uwalimu ni miaka 3 na Engineering ni 4 ndo maana TGS zao ziko tofauti
 
NTA 4 Basic technician certificate
NTA 5 Full technician certificate
NTA 6 Diploma of engineering

Diploma ni engineer
Technician alieshia NTA5 au FTC kwa zamani
mkuu acha uongo hakuna kitu kama hicho ipo hivi ili uwe mhandisi/graduate engineer lazima uwe ni degree holder from any recognised university
Then diploma au NTA 6 ni equivalent to FTC hao wote sasa ndo mafundi/technicians
 
Ebu tusaidiane hv kati ya mwalimu wa sayansi sekondari na engeeneer nani ana fursa nyingi za kumake mkwanja nje ya mshahara.
wote maskini tu,hao walimu na ma engineer huku mtaani tupo nao na wamechoka mbaya...cc ambao hatujasoma wala hatuna hizo degree ndo tuna make mkwanja
 
Back
Top Bottom