allykisula
Member
- Jun 27, 2016
- 34
- 17
jamani ni lini TCU wataweka wazi majina ya undergraduate 2016/2017 mana watu presha juu sasa Jana wakakinukisha kisha wakazima msaada tafadhal
Ndoto njema mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mmmmmh subira yavuta heri lakn iv iv ninachokiona mbelen c chaher coz jana tu nmeota second round hiv iv
Njema!!!!! kumbe unitskii kher mkuu.Ndoto njema mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]