Recent content by bukoba vijijini

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kujua siku yangu ya kuzaliwa

    Asante jamani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kujua siku yangu ya kuzaliwa

    Wakuu heshima yenu,naomba msaada wenu katka jambo hili tafadhalini. Jambo lenyewe ni hili "ikiwa nafahamu mwaka na mwezi niliozaliwa. Je kuna njia yeyote ya kujua siku niliozaliwa. Hope watundu wa hesabu watakuwa na msaada kwangu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Figo kushindwa kufanya kazi (renal/kidney failure)

    Ndugu zangu tatzo la figo kushindwa kufanya kazi ni tatzo ambalo limewakumba wengi na wengine kufikia hatua ya kusafishwa damu huduma ambayo hakika gharama zake zipo juu kwa walio wengi. Habari njema nikuwa lipo suluhisho la kudumu la tatzo hili hata kama umeishaanza kusafishwa damu. Karibu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa una tatizo la figo kushindwa kufanya kazi

    Ndugu zangu, Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi. Ikiwa kuna mtu mwenye tatizo la figo kushindwa kufanya kazi na ameanza huduma ya kusafisha damu au hajaanza, basi nina furaha kuwajulisha kuwa tumaini lipo la kurudisha figo zako katika hali ya kawaida. Ikiwa wewe, ndugu, jamaa au...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziba wanabaguliwa na Wahaya wenzao?

    mmmmmh kazi ipo hapa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tutathmini mayweather vs pacquiao

    Pacman alikuwa na lengo la kumaliza kwa KO hivyo tangu round ya kwanza lengo lake lilikuwa hilo,mayweather alikuwa makini sana kudhibiti kasi ya pacman na alikuwa anapga ngumu ambazo zilikuwa zikimfikia adui wake tofauti na pacman amerusha ngumi nyingi lakini jamaa alikuwa akizikwepa au...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nawashukuru sana jamani.Tuzidi kushirikiana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asanteni kwa mjadara huu,naomba mnisaidie jambo hili tafadharini.Kuna faida gani ya kuagiza gari toka nje ya nchi na kununua gari ilo ilo kwa mawakala waliopo hapa nchini? Nategemea majibu yenye kujenga.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ndugu zangu nawasalimu sana na naomba kujua utofauti,uimara na ubora wa gari aina ya hummer na Range rover.Tafadharini sana wataalam
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wewe na dunia

    Tafadhari mtoa uzi naomba kujua neno "MEYIII" lina maana gani au ni mtu/kitu gani?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupanga na kupangua Ubongo ili kutimiza ndoto (Hypnosis)

    kaka Rakims tafadhari naweza kupata nafasi ya kukuona ana kwa ana? pls kaka
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kilichowasomesha wahaya

    100% hii kitu imetusomesha wengi plus na kahawa jamani binafsi kama si haya makitu leo ningekuwa cjui wapi.
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi adhabu sahihi ya mtu anayetembea na mke wa mtu?

    Hapo tatizo n mkeo kaka hata ufanyeje tatzo lipo kwa mke wako.Pole sana
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Isome tu utapata funzo katika maisha yako ya kimahusiano

    Hakika mungu anaishi
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    Tafadhari naomba kujua je mechi ya yanga -mbeya city itaonyeshwa?
Back
Top Bottom