Recent content by Bukijo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Aise mbona nimejaribu inaniletea huu ujumbe, kureset password bado ashindwa mwenye solution ya hii issue msaada plz!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nguruwe, ng'ombe na mbuzi wa kisasa

    Mada mhimu na kwangu, niko intereseted na hii kitu, ila connection na resources zake ndo sina. Wataalamu jamani tupeni dondoo mhimu hasa namna ya kupata Mbegu bora kwa ufugaji wenye tija.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natamani kujifunza Tally

    Uko maeneo gani nikulink na mtaalamu wa hiyo softaware!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimelikumbuka deni la HESLB, kama limenipandisha homa hivi

    www.sjut.ac.tz
  5. B

    JamiiForums Tanzania TCU AU CHUO

    Mkuuu sorry nashindwa kutofautisha vyema Bachelor of Education in Science na Bachelor of Science with Education Tofauti kubwa hasa iko wap,wahitimu hao wawili watatofautiana nini baada ya kuhitimu. Nitashukuru kunielimisha kwa hili!
  6. B

    JamiiForums Tanzania UDOM TUMIENI USTAARABU KIDOGO

    Duuuu sasa mkuu umeingia kwenye akaunti yao kufanya nini,ungepotezea labda ukilogin tu kwenye akaunti yao ndo ushaconfirm!!!!. Ndo hivyo tena UDOM wanakungoja ukareport!! Ila system yao ni shida website yao yenyewe kuipata inahitaji moyo!!!.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo kwa waliomaliza diploma kukosa nafasi ya kuingia vyuo katika awamu ya kwanza?

    Yaa kwa equivalent kuna vyuo bado ni changamoto,mtu unakuta ana GPA kubwa then anakosa admission,system bado sio fair kwa diploma holders!
  8. B

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    UDOM bwana wanazidiwa na St.John's Website yao sijui wanaibebesha mizigo gani blaa blaaa nyingi had inaboa!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu wakuu

    Kapige project managemenet dogo hiyo course ni deal sana asikudanganye mtu!
  10. B

    JamiiForums Tanzania TUDARCO SELECTION

    SJUT selection
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waliotuma chuo kimoja katika udahili wa vyuo mbona wananyanyaswa kwa majibu yao?

    Mimi naona wangetoa majina ya wote wale wenye multiple admission na wale amabao hawana multiple admission,sasa naona wametoa kipaumbele kwa wenye multiple,binafsi sikuomba vyuo zaidi ya kimoja sasa sijajua kwamba nipo upande gani maana hii ya multiple hainihusu,issue hapa ni kujua kama nimepata...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Katubu kwa PADRE kwamba umedanya hapa jamii forums kwa kusema uongo! Kwa nini msamiati huu wa Padre msiuingize kwenye biblia wakati wa kufasiri Heri yako wewe usiyemjinga,unayezijua lugha zote za ulimwengu! Japo unashindwa kutoa maana halisi ya Padre kibiblia! Kwenye biblia kuna mitume ,manabii...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Umenipotezea mda kusoma post yako kumbe hata biblia huijui..unatetea udini badala ya Kuikubali kweli ili uwe huru..haya nambie maneno haya yanamaana gani na yanapatikanikana kitabu gani: "Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Padre > Father Kuhani > Priest Kwenye biblia hakuna neno Padre, na maana ya padre ni Father, kwenye biblia linamaana tofauti kabisa mfano sala ya wakatoliki ya Our Father,Who is in heaven..huwezi sema Padre wetu uliyembinguni....
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Azam, Zuku na DSTV walirusha maudhui ya ndani kinyume na leseni zao! Lazima warejeshe fedha zote walizowatoza Wananchi

    Sijafanya chochote zaidi ya kusearch channels upya kwenye king'amuzi!
Back
Top Bottom