Recent content by Bukene

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa hupati cheti cha Kifo au Kuzaliwa RITA mkoani Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana. Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba) ukisha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC), adakwa na TAKUKURU Gesti akiwa na Mwanafunzi wake

    Yale mambo yaliishia wapi? Nguvu ya Pesa ilimnyima haki mwanafunzi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa Imekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha

    Matendo yao mabaya yanaonekana, wasifikiri wamejificha sana.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa Imekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha

    Licha ya kuwa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Jemedari Rais Mhe. John Magufuli kuwa katika mstari wa mbele kupiga vita rushwa, lakini katika hali ya kusikitisha vitendo vya rushwa vimekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha. Wengi wa wanaohitaji huduma kutoka kwa waheshimiwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    Maamuzi mengine watu wanashangilia lakini ni janga kwa Taifa. Kikwete hakuwa mjinga kuzuia lisibomolewe. Huo ni uharibifu wa mali ya umma. Wakiti linajengwa serikali na vyombo vyake vyote vilikuwepo, kulibomoa jengo la mabilioni kama lile la TANESCO ni hasara kwa Taifa. Raisi ashauriwe...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Huyo ndio shetani wanayemsemaga. Usifikiri kuwa shetani anakuwaga kwenye tukio akilazimisha kufanywa ushetani!
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Kweli, alikurupuka. Mambo yao wanashirikishwaje wazazi? Kwani wazazi walikuwepo wakati wa makubaliano ya kuoana?
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kadri ninavyochapa wake za watu ndivyo hamu ya kuoa inapotea

    Duh, hiyo ni kali
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tarime John Heche kupeleka hoja binafsi muda wa Urais, Ubunge upunguzwe

    Nchi hii imefikishwa hapa na WACHUMIA TUMBO. Majambazi kama yaliyompiga LISU risasi yamepata au yatapata faida gani? Wataishi milele au nayo siku moja yatakufa na kuacha kila yalichopata kwa kumwaga DAMU za wasio na hatia?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Zitto na Watanzania wanaosoma Kenya, wajitolea damu kwa Tundu Lissu

    Mungu hapendi watu wanaofanya kazi kama mashetani. Alichofanyiwa TAL ni ushetani, Tulaani kwa nguvu zote kila aina ya ushetani unaotendwa wa WATU WASIOJULIKANA. Na tuwalaani wote wanaotaka kutoa watanzania wenye mapenzi mema kwa nchi kwenye hoja ya kusahau unyama na ushetani uliotendwa na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Bomu lalipuka Arusha na kusababisha vifo

    Sijaweza kuielewa vizuri picha hiyo. Na mimi niwape pole wahanga wote. RIP all of u little angles
  12. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wamewakamata wanachama wa CHADEMA waliojitokeza kuchangia damu Temeke hospitali leo

    damu inahitajika kwa dharura yoyote.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Tundu Lissu kuhamishiwa India kwa matibabu zaidi

    Unahitaji uhurumiwe tu, hujui utendalo. Dr marehemu Mvungi alienda Muhimbili, Alipona?, alipata rufaa ya India? Upumbavu mwingine unaudhi sana.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Yule kijana wa Arusha aliyerusha kwenye facebook kwamba angetaka Lisu auawe alikamatwa kwa just kuhisiwa. Kwanini Bashite asikamatwe kwa kuhisiwa? Tatizo sisi tuna bouble standard. Kuna watu na majitu, hiyo haifai
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai amjibu Lema; Asema matibabu ya Lissu yameenda kinyume na taratibu za Bunge

    Umesahau kwamba Dr Mvungi (sasa marehemu) alivamiwa na watu wasiojulikana na hatimaye alifia hospitali ya Muhimbili? Umesahau kwamba kama siyo kuwapeleka Amerika wale watoto walionusurika kwa ajili kule Arusha leo wangeshakuwa wamesahaulika? Kwa damu iliyokuwa imepotea kutoka kwa Mh. Lisu...
Back
Top Bottom