Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

Ukivunja jengo la TANESCO si unajifilisi mwenyewe??
Hakuna altenative space?
Ondoa jengo la idara ya maji lote uponyeshe hiyo hasara ya mabilioni!!
Maamuzi mengine watu wanashangilia lakini ni janga kwa Taifa. Kikwete hakuwa mjinga kuzuia lisibomolewe. Huo ni uharibifu wa mali ya umma. Wakiti linajengwa serikali na vyombo vyake vyote vilikuwepo, kulibomoa jengo la mabilioni kama lile la TANESCO ni hasara kwa Taifa. Raisi ashauriwe inavyostahili jamani.
 
alifikiri huyo PM atafanya kama yeye anavyofanya huku anaingilia na kuielekeza mihimili mingine (bunge na mahakama) nini cha kufanya na wafanye vipi.
 
Sasa Magufuli tanua mibavu yako na Canada, kwakuwa Kenya tayari, tukuone maringo yako !.hizi ndo siri za raisi usizopenda Lisu aziseme hadharani ! Sasa na huyo waziri mkuu wa Canada mtumie wasiojulikana,waka mwagie mvua ya risasi kama za Lisu.

Wewe si bulldoza hujali wala huogopi, kaonyeshe hizo mbavu za mbwa na Canada.

Madiwani uliowanunua washaona mbavu zako, sasa hao ambao hawajaziona na kuzijua kawaonyeshe dikiteta wetu mpendwa wa Tanzania, ili wakujue wewe hupangiwi wala huambiwi hivyo.

Loh salale mungu mtu wewe, utaifikisha wapi hii nchi ?? Mungu tunasuru waja wako na huyu mwovu, aliyetokea kuzaliwa Tanzania, Amen.

Mmm!! Makavu unajua kuyapangilia sio siri. Nyie ndio mnasababisha tunavunjiwa vitega uchumi vyetu, hamjui kuwa anapita huku na akiona kitu kama hiki sijui nini kitafuata kuharibiwa.
 
Waziri Mkuu wa Canada ndiyo mwizi mwenyewe. Wanaiba makanikia teu wanapela Canada, wanafaidika. Wanapewa siri zetu na wasaliti wa Chadema, wanakwepa deni letu wanakula hela tiyokwisha lipa. Kwa ninu watusaidie, wale nini? Mwenye macho na aone, haw si ndugu zetu. Wala tusiwategemee mutusaidia na sisi tuwawekee ngumu kuja Serengeti. Wasaliti waliihusika kutoa siri ndege yet ikakamatwa hatutawasamehe.
Hivi kwanini watu wa upande ule karibu wote ni viwango hivi??
 
Jamaa sizani kama hata anaform wani kichwani maana ni jiwe kabisa sijui la zege duh.
Hahaha!! Asimilia kubwa ya jamaa wa upande ule (proponents) hawajui kujenga hoja, hata kuandika tu ni issue. Na ndio maana tunashindwa kutoka hapa tulipo, mazero ni wengi mno, sorry to say that.
 
New-Doc-2017-11-18-1_20.jpg
 
Hili gazeti kwisha habari yake. Naona kwenye meza ya magazeti Nipashe atatamba maana wakitoka Tanzania Daima na Raia Mwema naamini watapokelewa na MWANANCHI na MTANZANIA.
 
utawala huu ni aibu kwa taifa kama so east Africa hivi walomchagua wapoo mzee wa Malofa Yuko wapi aone alichotuchagulia
 
Hivi kwanini watu wa upande ule karibu wote ni viwango hivi??
Wenye mamlaka wangeshauri Hospitali yetu ya Mirembe ifungue kitengo pale Lumumba kutoa msaada kuokoa hiki kizazi ambacho ni dhahiri afya ya akili imeenda tenge
 
Back
Top Bottom