Recent content by Buka Crouch Juniour

  1. B

    JamiiForums Tanzania MA of arts in PPM vs MA of Science in PPM

    Sua imeanza last year
  2. B

    JamiiForums Tanzania MA of arts in PPM vs MA of Science in PPM

    Ndg nakushaur soma prospectus ya mzumbe na ya udsm utajua kila kitu ya mzumbe almost imebase katika finacial,economy issues bt udsm na sua general social issue na little bit economic issue
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mweka university of Tourism

    Jamani mweka n university tangu lini?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Niulize Swali lolote kuhusu Mradi wa Mkuranga Project (TANESCO)

    Naweza kupata proposal yake
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chagua jinsia ya mtoto umtakaye

    Kumbe ni prediction....
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Kaka nichekie s2820.0066.2013 na s0316.0198.2005 thn n link f pocbo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo huu wa Rais, idadi ya vyuo itaongezeka

    Hombolo n chuo kikuu nacho au?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Majibu ya ubishi wetu Tanzania na vyuo vyetu

    Hamna hata kimoja Tanzaniaaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Majibu ya ubishi wetu Tanzania na vyuo vyetu

    Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho: Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho - millardayo.com
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa juu ya suala la mkopo

    Mtoa mada amekurupuka wadau fatilia nchii zilizoendelea au zingne utoaji wa elimu had leo ndio uje kuhitimisha kwa kisema huwa hawatoi o hawasomeshi wanafunzi wao
  11. B

    JamiiForums Tanzania UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    Pamoja kaka...tupambane tuu na nchii yetu
  12. B

    JamiiForums Tanzania UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    Haina haja ya kubishana sawa chuo kinapimwa na lecturers,facilities na research only habar ya umbal haipo kweny vigezo na mwisho n borq kpo rank ip? Mwisho kila mtu huwa anavutia aliposoma kweny hz hoja ndg
  13. B

    JamiiForums Tanzania UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    Ingia kwenye website ya chuo utazikuta mfano hata UDSM kwenye na kwenye announcement za programe zao...
  14. B

    JamiiForums Tanzania UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    Kaka kwel ufaham ndg maana point zako n za kujirudia karibu 3 kikubwa kwenye chuo ukiacha facilities n RESEARCH na zina impact gan kwa jamii chuo km hakina research wordwide hakiwez kuwa bora zaid ya vyuo ambavyo n bora
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hivi lower second with honours ya udsm ni ndogo sana au haina soko hapa tanzania?

    Huyu jamaa huwaga anaongea sana upuuzi kuhusu kazi za watu na walichosoma na kuna kakuuliza ulisema umesoma COET hw now CASS uache utoto wewe n masikini wa akili na kujikweza na inaonyesha hujaelimika sasa kaa mtaani ule msoto mpuuzi wewe
Back
Top Bottom