Mweka university of Tourism

Jul 26, 2016
8
6
1469818744379.jpg

Kwa wale waliosoma masuala ya geography, na sayansi kwa ujumla, mnakaribishwa MWEKA chuo cha Utalii kinachotoa elimu ya utalii na kukuhakikishia ajira pindi umalizapo masom yako pia field kwenye hifadhi za Tanzania.
Chuo kipo Moshi mjini.. Wote mnakaribishwa sana.
Tanzania Utalii Dialogue.. The beauty of Utalii
 
View attachment 373122

Acha uwongo Chuo hakiko moshi mjini bali ni Moshi vijijini
 
Ukisoma hapo ukimaliza vzr, ujue umetumia kama 30 millions.

....................
Sasa mtu atajiajir vp apo
 
Ada ni kubwa mno mkuu... mm nasoma utalii UDOM nalipia laki nane tu. Mtawezaje kuwavuta watoto wa wakulima huko halafu waache laki nane udom na milioni Udsm?
 
Ila Mweka sio mchezo na they provide greatest knowledge in wildlife management,huwezi compare Mweka na Udom kwenye masuala ya utalii,binafsi nilisoma pale a years ago real mambo yangu sio mabaya.
 
Back
Top Bottom