BON255
Member
- Apr 6, 2015
- 73
- 17
Poleni na kazi ya kujenga Taifa wana JF
Katika kufanya tafiti zangu za kutaka kurudi tena shule kusoma masters, nimekutana na hii course ya PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT, lakini kuna vitu vinanichanganya, vyuo vingi vya bongo kama UDSM, SUA wanaiita MASTERS OF ARTS IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT lakini nikienda MZUMBE pekee ndo kinaiita MASTER OF SCIENCE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT.
Swali langu la msingi je hizi ni courses mbili tofauti au ni course moja tuu ila mzumbe wameamua kuiita hivyo? kama ni courses mbili tofauti ipi ni bora zaidi kuliko nyingine hasa kwenye ulimwengu waku practise kile ulichokisoma? na mwisho unanishauri nikasome chuo kipi kati ya hivyo viwili au chuo kingine unachokijua kinatoa masters ya PPM kwa ubora zaidi?
Naombeni msaada wenu kwa wale mliosoma au mnaojua kuhusiana na hili