Recent content by Buhamila

  1. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Ona Rais Zelenskyy anavyotiwa ujinga

    Kwa mtu mwenye akiri hawezi sifia
  2. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Ndege za mbili za Marekani zatimuliwa baada ya kutaka kuingia eneo la Urusi

    Unatakiwa kujua si kila ndege inayoruka Black Sea inatakiwa kupigwa. Iko mipaka ya kimataifa inayoruhusu kila ndege kupita hata kama wewe unayo unaruhusiwa kupitisha. Bali itashushwa tu endapo itavuka mipaka hiyo hata kwa mm 1
  3. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Ndege za mbili za Marekani zatimuliwa baada ya kutaka kuingia eneo la Urusi

    We mmarekani wa kwa mtogoro umenena
  4. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Makombora 81 yalirushwa na jeshi la Urusi na kuleta uharibifu mkubwa

    Al jaazera wako vizuri kidogo
  5. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unashangaa hayo, mbona hushangai Israel akisaidiwa na mmarekani wamegonga mwamba kwa palestrina
  6. Buhamila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samsung Soundbar T650

    Naomba msaada kwa mwenye kuijua vizuri sound bar tajwa hapo juu ubora wake na madhaifu yake Ahsanteni
  7. Buhamila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini Tatizo kwenye hii Samsung Note 4

    Sorry note 4 not note 5 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Buhamila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini Tatizo kwenye hii Samsung Note 4

    Tatizo la kujizima ni betry kama ulivyoshauriwa na chief. Nilinunua note 5 November 2014 wakati zinaongia sokoni lakoni hadi sasa ni mara 3 nimebadili betri kwa tatizo hilo kama lako Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Buhamila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini Tatizo kwenye hii Samsung Note 4

    Laki saba! Hiyo ilikuwa fake. Note 4 wakati zinaingia 2014 bei ilikuwa 1.5m Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya maji Mwanza mnatuumiza wanyonge

    KWa wakazi wa mwanza mnaweza kuwa mashahidi bill ya maji ya July 2019 imeongezeka mara dufu. Nimeenda kuulizia kituo cha buzuruga nimeambiwa bei per m3 imeongezeka kutoka 700 hadi 1225! Karibu mara 2 ya bei ya zamani Kuweni na huruma jamani mkumbuke mshahara haujaongezeka hata cent 5
  11. Buhamila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada.; Smart tv ya bajeti ya 550,000

    Unatisha mkuu, heshimu na hiyo picha iliyokwenye profile yako
  12. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Ingabire na Kizito Mihigo waachiliwa huru na Rais Paula Kagame

    Ugomvi uishe
  13. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Generator nzuri kwa matumizi ya nyumbani

    Habari ya asubuhi wana jf. Napenda kupata ushauri ninunue generator ya Kv ngapi inatayoniwezesha kupata mwanga na matumizi mengine ya nyumbani kwa kipindi hiki make umeme bado haujafika ktk eneo hilo ila imenibidi nihamie kwangu hivyo hivyo Naomba ushauri
  14. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

    Dawa ya madiktata inaanza kuchemshwa
  15. Buhamila

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huenda anarudia makosa ya Kikwete!

    Hahaha kweli hujitambui
Back
Top Bottom