Nini Tatizo kwenye hii Samsung Note 4

Nini Tatizo kwenye hii Samsung Note 4

Tatizo la kujizima ni betry kama ulivyoshauriwa na chief. Nilinunua note 5 November 2014 wakati zinaongia sokoni lakoni hadi sasa ni mara 3 nimebadili betri kwa tatizo hilo kama lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ni matumizi binafsi ya mtu ndiyo yanayoharibu simu,Natumia Note 4 tokea 2017 Jan, Mpaka leo haina shida kwenye Betry na sijawahi kubadilisha zaidi ya chaja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom