Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,265
- 4,284
Nimeshindwa kulitatuaUlilitatuaje Boss
Nimeshindwa kulitatuaUlilitatuaje Boss
UKIKOSA SOLUTION NIUZIE KIOO MKUU
nataka used bei gani mkuuKama unahitaji kioo nicheki..
ulishawahi tumia note 4 mkuu?Note 4 ndo matatizo yake hayo, hizo sio simu hata isikuumize kichwa.. Mafundi watakula hela na bado simu haitapona!
Samsung katika project waliofeli ni hii ya Note 4.
ulishawah tumia note 4?
Ulikaanayo kwa mda gan ndo ikaanza fujo?Hadi nikaiuza kwa bei ya hasara kwa hasira.
Ulikaanayo kwa mda gan ndo ikaanza fujo?
Kangu kana miez 4Kwa miezi 5. Mwezi wa 6 fujo zikaanza kwenye betri
Kangu kana miez 4
Ngoja nione ila perfomance iko juu ya kiwangoKape muda tu kataanza visa 😂.
N
Ngoja nione ila perfomance iko juu ya kiwango
Kumbe tatizo linakuja kwenye betri tuUkitaka isife haraka usiwe unaicharge muda wote, hakikisha charge mpaka iwe asilimia -20 ndo uicharge.
Laki saba! Hiyo ilikuwa fake. Note 4 wakati zinaingia 2014 bei ilikuwa 1.5mnote 4 hadi leo nitailaani maana niliitumia miezi6 tu ikaanza kuingia.nilipoipeleka kwa fundi haikupona hadi wa leo ipo kwa fundi.laki7 yangu sijawahi kuisahau.,s series hazijawahi kuniangusha
Sent using Jamii Forums mobile app