Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,217
- 3,425
Lol kweli wewe ni troll.Maisha tunatofautiana watu tunazungumzia SAMSUNG QOLED na LG QOLED watu mnazungumzia takataka kama Hisense, Boss, Skyworth, n.k
Na inaonyesha umeona tv uzeeni.
Lol kweli wewe ni troll.Maisha tunatofautiana watu tunazungumzia SAMSUNG QOLED na LG QOLED watu mnazungumzia takataka kama Hisense, Boss, Skyworth, n.k
Kwani QOLED za lini we Kitobo? Nakumbuka mwaka 1995 tulivamiwaga home wakaiba TV tuu unaweza kuwa bado hujazaliwa kipindi hicho.Lol kweli wewe ni troll.
Na inaonyesha umeona tv uzeeni.
Hahaaa wewe ndo kitobo tena unacho kikubwa kichwani.Kwani QOLED za lini we Kitobo? Nakumbuka mwaka 1995 tulivamiwaga home wakaiba TV tuu unaweza kuwa bado hujazaliwa kipindi hicho.
Mbaya zaidi unaizungumzia ya shemeji yako,msukuru sana dada yako mkuu!




Sasa kwa Sasa ninunue Boss, Skyworth, SingSang, mi mwanafunzi wa Chuo?Hahaaa wewe ndo kitobo tena unacho kikubwa kichwani.
Naongelea the fact kwamba umekuja kuzijua tv uzeeni cause brands za tv nzuri unazozifahamu ni Samsung na LG tu.
Hayo mambo ya QLED na OLED siyo mapya kama unavyodhani.
Kama Siyo Mapya Je mwaka 2015 Kulikua na QOLED? au Wewe ndo mgeni huko Unakoendaga Kugongwa kila Weekends ndo unakutaga Brand choka mbaya au? Vumilia Hivyo Vivulana vyako broke havina fedha za Kununua LG 55"QOLED au Samsung Mtaishia kwenye SingSang 55inch Kwa Sh 600,000Hahaaa wewe ndo kitobo tena unacho kikubwa kichwani.
Naongelea the fact kwamba umekuja kuzijua tv uzeeni cause brands za tv nzuri unazozifahamu ni Samsung na LG tu.
Hayo mambo ya QLED na OLED siyo mapya kama unavyodhani.
Unatisha mkuu, heshimu na hiyo picha iliyokwenye profile yakoKama Siyo Mapya Je mwaka 2015 Kulikua na QOLED? au Wewe ndo mgeni huko Unakoendaga Kugongwa kila Weekends ndo unakutaga Brand choka mbaya au? Vumilia Hivyo Vivulana vyako broke havina fedha za Kununua LG 55"QOLED au Samsung Mtaishia kwenye SingSang 55inch Kwa Sh 600,000
Skyworth iko poa zaidiDVB-T2
Skyworth iko poa zaidiView attachment 1120937
Vp upatikanaji wa spare, Je wanà agent hapa bongo..Skyworth iko poa zaidiView attachment 1120937
Kwa hapa Bongo sijui! Ila online store zipo kibao. Sio kitu cha kusumbua kwa dunia ya leo.Vp upatikanaji wa spare, Je wanà agent hapa bongo..
Wakat nanunua tv niliconsider factors nyinginyingi