Recent content by bugorobi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dagaa wasio na michanga (uchafu) wanapatikana

    Ni kweli MAKAH uanikaji wa hapa dagaa wa ziwa Victoria imekuwa nikikwazo ila kama ulivyosema na kama kigoma wanavyofanya ndivyo nafanya tofauti yake ni ukubwa tu basi! BARIBU hata sample utaletewa ukitaka!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dagaa wasio na michanga (uchafu) wanapatikana

    Wadau wajasiriamali! nawasalimu! Nimefanya utafiti na kupata jawabu kuwa watu wanachukia dagaa wa ziwa victoria kwa vile wanaandaliwa katika mazingira machafu na wanakuwa na uchafu! Nimeweka miundo mbinu yakuanika juu ya chanja na kuwatreat kidogo kwa mbali na chumvi kwa ukweli yeyote anaweza...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bulyanhulu wametoa nafasi za kazi

    Mkuu Dimpo stay blessed!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Updates toka NEMC kuhusu environmental expert 2014

    Wanajamvi kuna mwenye updates kutoka NEMC kuhusu application zilizofanywa juu ya kuwatambua EIA/EA experts! Thanks as always.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni haki TBC kukatisha matangazo ya Bunge la katiba?

    Hivi tuwe fair kwa upuuzi unaofanyika pale ndani waonyeshe nini? Walaumu wapigaji(CCM) walioshindwa kuweka vifaa vya kielectronic kwa ajili ya kupigia kura!!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni haki TBC kukatisha matangazo ya Bunge la katiba?

    Ili linchi CCM basi wote tunaonekana wapuuzi! Hivi inawaingia akilini wametumia 8.2 billion kukarabati na wameshindwa kufunga electronic voting system!!! BWANA EHE NIMESIGN OUT KUANZIA LEO MIMI SIWEZI KUWA MPUUZI( MEANING NIMEJIVUA URAIA KWA HIARI YANGU PERIOD)
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Ndio lakini kisehemu walichotenga na idadi ya magari ni uwendawazimu mtupu! au ndo njia ya kuwakamata kuwa wamevunja sheria ili wapate ongo?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Nawaunga mkono kwani siku moja nilipita pale buzuruga kweli nchii haina wasomi kabisa!! wameweka kistand utafikiri ni cha kuegesha tax 2? Yaani huyu engineer wa jiji inabidi awajibike! TOO PATHETIC!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwita waitara: Mawaziri wapaya siyo mizigo tena bali rumbesa

    Ni jana katika M4C-OPD! Mwanza kwani mzigo unaweza kupimika bali rumbesa haina kipimo! Kweli JK umetufikisha kuamini hivyo? Baba RITZ give us a break!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya CHADEMA-ARUSHA

    Hata kusoma huji au uelewi? Nani kasema maandamano ni leo? naona bwana yako mwenye ulewa kama wewe kakupa like! pole chooni!
  11. B

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

    Ukiwa Jiccm unakuwa zezeta! Nani alikwambia Mwanza ni wasukuma tu! Anyway pole sio wewe ni division five @ work.
  12. B

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

    Mimi leo nimekubali wenyewe wanasema speechless! Hivi kumbe DR Slaa nimchumi hivi? Leo kashusha nondo za uchumi wa mtu mdogo ambaye wakoloni weusi wametubatiza jina la wananchi wa kawaida kama vile wao ni Alliens! Nimejiona tajiri japo sina hata mia mfukoni na natembea kwa muguu kuelekea...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Shule za kata majanga! no wonder ni mpiga debe hata kuandika tabu!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Live kutoka viwanja vya Furaisha M4C OPD

    Check hii nyomi Furahisha Mwanza ni hatari
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hosptali nzuri kutahiri mtoto mwanza

    Asante ram
Back
Top Bottom