haya lemaaaaa kaanza tenaaaaa,huu lema atakuwa na laana,
Haya Mjusi, tumekusikia
haya lemaaaaa kaanza tenaaaaa,huu lema atakuwa na laana,
Leo jumapili nendeni kanisani maandamano hayatawasaidia chochote mmeishajiuliza toka muanze kuandamana maandamano yamewasaidia nini.
haya lemaaaaa kaanza tenaaaaa,huu lema atakuwa na laana,
Hatuwezi kukopesha maisha yetu kwa watu kisa sheria mbaya za nchi, polisi anataka kusaidiwa wakati kikosi kinafanya mambo vivy isiyo
wanabodi
CHADEMA Arusha wataandamana Jumanne ya wiki ijayo kupinga wanachama wao kukatwa mapanga na akna Mjusi na Mojaa wa ccm,pia watalaani na kupinga polisi kushirikiana ccm kuwakandamiza
Tangu kampeni za Sombetini zianze wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani wapatao 8 wamekatwa mapanga na ccm mbele ya polisi bila hatua yoyote kuchukuliwa dhidi ya wahalifu hao
Duru kutoka kwaviongozi wa Jeshi la polisi zinadai kuwa OCD na RPC wapo kinyume cha CHADEMA hasa baada ya tuhuma nzito kuwa wao ndio waliopiga bomu Soweto Juni 15
Haya Mjusi, tumekusikia
Mimi huwa najiuliza sana pro-Chadema wote hapo Arusha mnamuogopa sana huyu Mjusi mnashindwa kupambana nae.Maneno yako Ritz ni dalili tosha ya dola kandamizi kudondoka. Hawa wanaokatwa mapanga wana ndugu zao wakaribu wanaowategemea ambao ni CCM pia.
Kwanini msijilinde!!!?maandamano hayatawasaidia kitu,kinachonishangaza mtu mnayedai anafanya huo utemi mnamjua lakini mnaendelea kupiga kelele!!!kwani kwake analindwa na kikosi cha jeshi!!uoga mwingine ni ujinga.
Mimi huwa najiuliza sana pro-Chadema wote hapo Arusha mnamuogopa sana huyu Mjusi mnashindwa kupambana nae.
Maneno yako Ritz ni dalili tosha ya dola kandamizi kudondoka. Hawa wanaokatwa mapanga wana ndugu zao wakaribu wanaowategemea ambao ni CCM pia.
Kwanini msijilinde!!!?maandamano hayatawasaidia kitu,kinachonishangaza mtu mnayedai anafanya huo utemi mnamjua lakini mnaendelea kupiga kelele!!!kwani kwake analindwa na kikosi cha jeshi!!uoga mwingine ni ujinga.
Haya maandamano Chadema wameyaitisha kwa ajili ya Mjusi?mjusi ni zaidi ya wanachama na wapenzi wote wa chadema arusha...na ndio msimamiz wa uchaguz wa udiwani..sasa makamanda sijui mtatokea wapi
ushauri wako wakijinga hata hauna chembe ya kutatua tatizo badala yake unaongeza tatizo tatizo la chadema wanaona vurugu ndiyo jambo la maana kwao.
Leo jumapili nendeni kanisani maandamano hayatawasaidia chochote mmeishajiuliza toka muanze kuandamana maandamano yamewasaidia nini.
Na wewe unamuogopa Mjusi ukimuona hata kwa mbali lazima ukimbie.Hata kusoma huji au uelewi? Nani kasema maandamano ni leo? naona bwana yako mwenye ulewa kama wewe kakupa like! pole chooni!
Tangu lini wauaji nao wakavamiwa na kupigwa usitudanganye kabisa nyie chadema mmezoea kupiga watu na kusingizia ccm mlirusha bomu soweto mkasingizia polisi.