Recent content by BUGHNTAE

  1. BUGHNTAE

    Serikali yafafanua suala la mikopo kwa wanafunzi waliosoma shule binafsi

    Maajabu haya kwenye kununua ndege cash na kujenga viwanja vya ndege hakuna ufinyu wa bajeti lakini swala muhimu kama Elimu ufinyu upo ok sawa
  2. BUGHNTAE

    Congratulations To Simba Sports Club..

    Yeah this is BINGWA
  3. BUGHNTAE

    Hili la Kenya kutaka Ofisi za UN Entebbe kuhamishiwa Nairobi Kenya, kutuzindue Watanzania juu ya ubinafsi wa Wakenya:

    Acha kupotosha mkuu un wenyewe ndio walikaa wakajadiliana kuwa wahamishie Nairobi asee wabongo kwa kupotosha hatujambo
  4. BUGHNTAE

    Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"

    Ngoja nilale niflash ubongo ntarud huenda nikaelewa kilichoandikwa hapa ni maoni yangu tu
  5. BUGHNTAE

    Wasomi ndio wanatuangusha!

    Ila akiwa ndani ya serikali ni kuharbu tu mfano mdogo inshu ya mafuta walioharbu ni wasomi walioko ndani ya serikali alafu wasomi walioko nje ya serikali wanawapinga kuwa hapa mnaharbu
  6. BUGHNTAE

    Wasomi ndio wanatuangusha!

    Duh kwahiyo huko serikalini hakuna wasomi mkuu mbona wapo wengi tu mpaka wengne wana Phd nao ni walewale tu ok ila kufkiri ni bora zaidi ona sasa ulichokiandika
  7. BUGHNTAE

    Spika Job Ndugai azuia swali la Mbunge Kubenea lisijibiwe na Waziri Mkuu

    Huko ni kukosa majbu tu hakuna swali la kipuuzi weka vigezo vya kuljua hilo swali la kpuuzi mkuu
  8. BUGHNTAE

    Magufuli 2015: Kitu chenyewe MKOPO, halafu mtu akose?

    Endeleeni kujenga matabaka tu wapo watu wanafunzi waliofadhiliwa, waliosaidiwa,wapo ambao wazaz wameuza aseti zao kama mashamba, mifugo, hata nyumba zao za urthi ili tu wawawekee watoto wao misingi iliyobora kwa kuamini huko juu mkopo upo alafu pia huo mkopo anakopeshwa mtoto na sio mzazi...
  9. BUGHNTAE

    Magufuli 2015: Kitu chenyewe MKOPO, halafu mtu akose?

    Utamtambuaje mnyonge weka vigezo hapa sio maandishi tu
  10. BUGHNTAE

    Spika Job Ndugai azuia swali la Mbunge Kubenea lisijibiwe na Waziri Mkuu

    Si wangejibu hivyo basi kama ni hivyo kwa nini wazue jibu
  11. BUGHNTAE

    Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

    Ndugu uko sawa kwa mtazamo wako lakini ebu chukulia wewe ni mzazi alafu miaka yote ktk nchi hii inajulikana ukifika chuo kuna mkopo hvyo wewe kama mzazi ukasema ujikaze ufanye juu chini umjengee mwanao msingi mzuri huku chini ikiwa juu mkopo upo basi ukauza hata mashamba au mifugo yako ili tu...
  12. BUGHNTAE

    Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Dawa chungu ndio inatibu mkuu achana nae kubali maumivu ya leo ili ufurahi maisha yajayo
  13. BUGHNTAE

    Je, Huu ndiyo ubora wa Mahiga aliyekuwa na nia ya kupewa Urais?

    Kwa wakati huu ukiwa upande ule kujitoa faham hata kwa wasiyo tarajiwa ni jambo la kawaida Sana japo sijui mwisho wake utakuwaje
  14. BUGHNTAE

    Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

    Sijui ni kwa nini tu wengi wanaondoka kwa njia kama hizo huwa wanaishia maisha ya majuto yasiyo kifani dawa Yao unawaangalia tu nakiwaacha
  15. BUGHNTAE

    Tanzania U17 (Serengeti Boys) Mabingwa wa kombe la CECAFA U17

    Ukisikia wali mlenda ndio huu sasa, mbona kle Uganda wachezaji wetu walienda kwa basi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Back
Top Bottom