Recent content by bugha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kutoka kwa watu waliowahi kufanya usahili TPB

    Mkuu mbona zinapostiwa sana humu labda haukua makini kuangalia aisee kua makini kila kitu kipo humu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bitcon Itaua Watu

    Kumbe ndio mana unajiamimi aisee ni mdau wa Haya mambo? Kweli utajili ni kuamua tu Let's keep up acha wauze wengine ndio kwanza tunanunua magunia ya coin
  3. B

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nazani ni wazo la msingi sana hajalishi upo mkoani au wapi kama una nia ya dhati basi kitabu utakipata tu Wazo langu pia cheki stationary inayofikika kirahisi na ya kuaminika mana wapiga dilii hawakosekani unaweza kukuta bei imepanda Kisa demand imekua kubwa so ni jambo la busara kuwahi pia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Iphone

    Na Mimi nime replay ili kukuokoa Mkuu usiwe wa mwisho sasa Uko reply tu saiz utakua wa mwisho kweli[emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Sio kitu kimoja Tax evasion is a crime mana ni ukwepaji wa kodi kwa maksudi ila tax avoidance ni halali kisheria Yani kwa mfano wewe una nagari mawili ila una umwezo wa kulipia kodi gari moja sasa basi Nafanya tax evasion maana yake utalipia gari moja lakini la pili utaendelea kulifanyia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Daaah Mkuu umeanza na interview hapa hapa[emoji1] [emoji2] [emoji3] Ila its true tax evasion is a crime and the guilty part is liable to fines and/or imprisonement
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Nimemaliza ifm bachelor of taxation Kazi za Kodi nilizowahi kuzifanya ni kama Kuwaelimisha wafanyabiashara kuhusu elimu ya kodi Kutengeneza tax returns Kufanya assessment na zinginezo Nimeishi mikoa kama Dodoma,singida,Mbeya,Tabora na Dar es salaam ambapo ndio mwenyeji zaidi Mahitaji ni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Haina shida mkuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Thanks kwa ushauri
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Thank you kwa ushauri
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Daaah itanibidi tu Mkuu mana hakuna namna kwani ww Uko wapi?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Sawa mkuu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Aisee ile kozi Haina maslahi Mkuu bora hata waibadilishe jina mana hata mabosi hawaijui bara hata Waite bachelor of taxation with accounts mana ikibaki taxation aisee hakuna kitu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Nashukuru mkuu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kazi zimekua ngumu sana

    Mkuu sasa muongozo sina Mkuu labda uniruhusu nije pm nipate muongozo mkuu
Back
Top Bottom