Naomba msaada kutoka kwa watu waliowahi kufanya usahili TPB

Mwanambugulu

JF-Expert Member
May 26, 2017
666
814
Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah kapambane mkuu Kwa Post ya sales executive jipange ujue products zao na huduma zao wanazotoa kwa jamii ni kawaida tu pia na knowledge ya kuhusu mambo ya banking yalivyo (KYC-Know your Customer) na vingine kiujumla.Mungu akuongoze Mkuu.
 
aptitude test kunakua na maswali ya hesabu na english kidogo. na majibu yanatoka siku hiyohiyo jioni walio faulu kuingia oral wanapigiwa simu siku hiyo hiyo baada ya kumaliza kusahihisha.
 
Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa Kitanzania tubadilike.
Mkiziona hizo nafasi mna apply kimya kimya, hata hamji kuzipost JF na kwingine ili wenye sifa wazione na wa apply. Halafu mkiitwa interview ndo mnaanza kuja kupost kuulizia ulizia habari za interview.
Tubadilike vijana!! Mwanambugulu
 
Tubadilike vijana!!
Umeongea ukweli kabisa,unakuta nafasi zimetoka mtu anaomba kimya ,halafu anakuja kuulizia baadae kama wameita kwenye interview, ,watu watajuaje kama wameita wakati hata hizo nafasi hawakuziona, ,
 
Vijana wa Kitanzania tubadilike.
Mkiziona hizo nafasi mna apply kimya kimya, hata hamji kuzipost JF na kwingine ili wenye sifa wazione na wa apply. Halafu mkiitwa interview ndo mnaanza kuja kupost kuulizia ulizia habari za interview.
Tubadilike vijana!!
Wewe si unashinda Forum ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki (MMU) so huwezi kupata taarifa za ajira kwa sababu huwa wanapost kwenye website Yao.
 
Vijana wa Kitanzania tubadilike.
Mkiziona hizo nafasi mna apply kimya kimya, hata hamji kuzipost JF na kwingine ili wenye sifa wazione na wa apply. Halafu mkiitwa interview ndo mnaanza kuja kupost kuulizia ulizia habari za interview.
Tubadilike vijana!! Mwanambugulu
Mkuu mbona zinapostiwa sana humu labda haukua makini kuangalia aisee kua makini kila kitu kipo humu
 
Vijana wa Kitanzania tubadilike.
Mkiziona hizo nafasi mna apply kimya kimya, hata hamji kuzipost JF na kwingine ili wenye sifa wazione na wa apply. Halafu mkiitwa interview ndo mnaanza kuja kupost kuulizia ulizia habari za interview.
Tubadilike vijana!! Mwanambugulu
acha mawazo mgando ......kama unasifa ungetoa msaada kwa mwenye uhitaji ingetosha kujitofautisha kama unavyodai kubadilika kwa vijana wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi za Sales mara nyingi huwa wanaangalia
1.You as a brand how can you sell yourself
Know your strength and weaknesses
2.Product awareness
Their strength and weaknesses
Concentrate on their major products
3.Persistence
Salespeople ndio watu tunaokutana na watu wenye kukatisha tamaa wengine kuliko mtu yeyote
Swali lolote utaloulizwa ambalo unaona lina misingi ya kukukatisha tamaa, SMILE and tackle it in a POSITIVE approach

4.Sales ni kazi ya kutoka nje
Swali lolote litalohusu kutatua changamoto za wateja onyesha WILLINGNESS TO GO OUTSIDE THE OFFICE AND TACKLE CUSTOMERS CHALLENGES

5.Mwisho Sales ni kazi inayohusisha watu wa different backgrounds, culture and beliefs
You must show your capacity to be able to go along with DIVERSITIES

Wish u all the best
 
Thanks chief salute kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom