Iphone

Iphone

kingine mkuu katika biashara kuna mambo matatu ambayo kabla hujaanza biashara yko inabidi ujiulize
-focus
-cost leadership
-differention
focus n zile sim zenye soko sehem fulan kama tecno wamefocus Africa

cost leadership nao tecno tena cheap production cheap uuzaji wa bidhaa zao

differention hao ndo i phone haijalish katika mazingira gan bei haishuk hapa brand inamata zaidi mfano mdogo maji ya kilimanjaro tanzania ni maji tu lkn ndo yanabei kubwa hyo n brand

Kilimanjaro siyo maji kama uhai na wengine , angalia Ph yake utagundua kwamba ni maji masafi (pure water ) kuliko maji mengine
d33f5db92bdf425d268fbfea292881f8.jpg
 
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Kusema iPhone inauzwa bei kubwa kuliko android phone hapa umesema uongo, simu zote ambazo ni high end karibia zina bei sawa mfano mzuri kaulizie bei ya iPhone 7 halafu urudi kwenye bei ya samsung galaxy s8 ndo utajua kuwa ulichokisema sio kweli
 
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm sioni kilicho zidi kwenye simu za iphone wwe pia waweza ongea kipi kisicho patikana kwenye androd na Iphone kipo
Kama ulishawahi tumia izo simu utajua uthamani wake, ni sawa na mtu kuvaa nguo ya mtumba mwingine abae ya special(bei ghali) halafu uulize ni yupo yuko uchi wakati wote wamevaa.
 
Kama ulishawahi tumia izo simu utajua uthamani wake, ni sawa na mtu kuvaa nguo ya mtumba mwingine abae ya special(bei ghali) halafu uulize ni yupo yuko uchi wakati wote wamevaa.
Daah humu ndani thread zote we ni wa mwisho kureply mpk kukuche nahs utakua umemaliza kukoment zote
 
Daah humu ndani thread zote we ni wa mwisho kureply mpk kukuche nahs utakua umemaliza kukoment zote
nilitamani nisiriplei ili wewe ndo uwe wa mwisho
 
Iphone hainaga ijinga wa ku stuck sijui inaganda sijui virus. Sijui ujinga gan. Unapotumia iphone wewe mwenyewe kwamza unajiona wa thaman. Hata kama huna kitu, ni imara zaid kulinganisha na material yaliyotengenezewa unajua kama iphone 6 haivunjik kioo Hata ikikudondoka kuanzia floo ya tatu? Kosea kuitia mfukon android yako ikudondoke halaf ndo utajua umuhim wa iphone.
 
..... unajua kama iphone 6 haivunjik kioo Hata ikikudondoka kuanzia floo ya tatu? Kosea kuitia mfukon android yako ikudondoke halaf ndo utajua umuhim wa iphone.

Dah!!! Watu na mapenzi yao hakyanani vilee japo huu mwezi wa toba
 
Back
Top Bottom