Recent content by budebajr

  1. budebajr

    Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?

    IMEISHA IO, KUNA MDA KUKU....ATAWAMBIA WAMEISHA KAMA ATAPATA location NZURI (KUKU WA KUKAANGA NDIO MBOGA KUU DAR KWA SASA, SIJUI HUKO MIKOANI)
  2. budebajr

    Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia ya masaa 15. Novena hii ni maalumu kwa shida kubwa

    BAKITA: WALE MNATAKA JUA KUA KUNA WATAKATIFU WAAFRIKA Bakita—jina kamili Mtakatifu Josephine Bakhita—alikua mtakatifu wa Kanisa Katoliki. 🕊️ Maisha na Utakatifu wake Alizaliwa nchini Sudan mnamo mwaka 1869, na alitekwa nyara akiwa mtoto na kuuzwa kama mtumwa. Baadaye alihamishiwa Italia...
  3. budebajr

    Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia ya masaa 15. Novena hii ni maalumu kwa shida kubwa

    Ahsante sanaa, hii imeniokoa niliambiwa niitafute, link niliotumiwa mwanzo ilikua ya mtandao wanaiuza, umeniokoa. Mungu akubariki, pia kila mmoja anaesali kwa imani. Wale wasiojitambua wapte elimu kwamba sio huyu tu kuna watakatifu wa Afrika sisi tunawajua kama akina Bakita na walikua watumwa...
  4. budebajr

    Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

    Hii Ishi nayo, niliwai sikia mhenga nikamdharau ana Experience kama miaka 35 ya ndoa yeye ana miaka 75, Badae nilikuja muelewa.
  5. budebajr

    PreGE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Yani nimetoka waza ivo ivo, "Support" (msaada) ya Kiongozi anaejiweza kifedha ni kumchagua kwa mtazamo wangu, kifedha kwakua kuna makundi Maalum katika nchi kama yetu ya hali ndogo ya uchumi. Fedha za mchango ziguse makundi hayo (Watoto Yatima , walemavu, wajane wasio na mitaji au pakujishkiza...
  6. budebajr

    Huyu kijana Amedhalilika sana

    Trust Me Dear Brother, They are unpredictable , They Fall in Love places u could never imagine, What turns them on, is quite Far from our thoughts, U may have money and is not enough, As a Man U may love & F*** Well is not enough, U may be honest ,humble and God fearing Man and be boaring to...
  7. budebajr

    Usiyoyajua kuhusu Biashara ya Simu za Kariakoo, ukijua haya utakuwa mjanja…

    Hahaha.... Jamaa ana kitu. Na hii inawafaa sana wasio na Elimu na wanadandia simu pale Kariakoo maana wana tiririka huko wengi tu,Ila kama unavosema ni kweli kimetokea Kichwa cha habari ( "Heading" )na Mtiroriko wa io stori "Plot" zipo tofauti.
  8. budebajr

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hili wazo la muimu sana afya ipewe kipaumbele sana, matibabu kwa mda na uraisi wa kupata huduma pia kipaumbele itolewe kwa wazee, wajawazito, watoto na wagonjwa wa dharula (emergency)
  9. budebajr

    Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

    Mimi nimewai ota nimemuoa HR Ila kiukweli tulikua marafiki na nilikua na muheshimu ila namuona mrembo (namu admire) na alikua anapenda tuwe tunakua pamoja wakati mwingi. Nadhani mazingira yao yanachangia hio ndoto au vile anavomuawazia. Ndoto ha na wigo mpana wakati mwingine unaota yale...
  10. budebajr

    Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

    Hadi leo ukiweka picha yake ipo katika chati bafo ana hit 🎯
  11. budebajr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ilikuaje...?
  12. budebajr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Inaitwa "Moment for life" kuna mda ukitafakari unaona kama picha ivi lakuigiza unalitazama.
  13. budebajr

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hizi kuna njia mbili: 1. kama unataka kutazama kwa mda : Netix naweza kukunganisha ukapata hii huduma. 2.Kama unataka kua nazo "copy" pia naweza kukupatia. Nitumie namba ya WhatsApp Dm.
  14. budebajr

    Wala bata wa JF

    Dah.... Pale unachek picha ndio unafaham kua ilikuaje siku ya harusi
Back
Top Bottom