Recent content by budagala

  1. B

    Wezi wa mali za umma tuoneeni huruma walala hoi. Ibeni halafu mfanye vitu vya kizalendo na vyenye tija ili roho zituume kidogo

    Suala la uzalendo kwa taifa ni cross cutting linalohusisha mambo mengi. Huwa naishiwa PAWA na inaniuma sana nikiona au kusikia kuna mtu katupiga halafu ananunua gari sijui la bilioni ngapi.Au mwingine anatorosha pesa kabisa nje ya nchi. That is not fair na mimi roho huwa inaniuma zaidi zaidi...
  2. B

    GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    Hili ni bandiko la ki utu uzima toka kwa kaka Paskali.Unapaswa uwe na jicho la tatu kuuelewa uzi huu.Kama huwezi kuisikia the voice within,nakushauri upite tu kimya kimya au urudie kusoma taratibu neno kwa neno kilichoandikwa pengine unaweza kuelewa.
  3. B

    Tundu Lissu ni shujaa

    Asante sana kaka Paskali.Nimefarijika sana kupata comment yako.A voice within.Mimi pia ni mtu ninayependelea sana aina ya uandishi na uchambuzi wako
  4. B

    Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

    Mada nzuri sana na imenigusa.Katika kampun 3 nilizofanya kazi,nilikuwa napata kibali sana lakin mwisho wa siku naishia kuchukiwa na kupigwa mqjungu na kuamua kuondoka mwenyewe.Somo linahitajika kwa wengine kujifunza ku manage postive energy zao.
  5. B

    Kwa Mazuri Makubwa Aliyoyafanya, Muda Muafaka Ukiwadia, Je Tumpe ile Asante Yake ile Stahiki?, Yaani Apewe tuu?, na Kama ni Maua, Apewe Tuu Maua Yake!

    Je ndiye yeye anayehitajiwa na Yeye?au Octoba tusubiri Yeye atuonyeshe Yeye ndiye Yeye?.Tafakari tunduizi kaka Paskali
  6. B

    NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Fika ofisin kwao wakueleweshe hatua kwa hatua.Wana formula zao za kushangaza sana hasa ukiugua mfano hautapata pesa yoyote eti hadi ipite 18 months baada ya hizo 6 months za malipo(33%) uliyokuwa unapokea kila mwezi.Nchi hii watunga sheria huwa hawaangalii kabisa uhalisia wa vipato vya watu...
  7. B

    NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Fika ofisin kwao wakueleweshe hatua kwa hatua.Wana formula zao za kushangaza sana hasa ukiugua mfano hautapata pesa yoyote eti hadi ipite 18 months baada ya hizo 6 months za malipo(33%) uliyokuwa unapokea kila mwezi.Nchi hii watunga sheria huwa hawaangalii kabisa uhalisia wa vipato vya watu...
  8. B

    Tundu Lissu ni shujaa

    NImekuwa najitahidi sana kufuatilia dhamira ya ndani ya Tundu Lissu na nimekuja kugundua inawezekana hana nia ovu na taifa hili. Inawezekana ana mapungufu yake mengi mathalani kutumia lugha za uchochezi au tonne mbaya anapokuwa anazungumza au inawezekana(sina uhakika) anatumiwa na mataifa ya...
  9. B

    Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Kama una discipline ya pesa.Usianzishe kampuni wala biashara formal.Utapigwa kodi na usumbufu juu.Mazingira ya biashara hapa kwetu kutoboa labda ukwepe kodi au ufanye biashara ya magendo jambo ambalo sikushauri.Mikoa uliyotaja ya Kahama au Geita,watu ndo wanavuna mazao this time around.Nunua...
  10. B

    Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    Umeongea kila kitu.Sina cha kuongeza wala kupunguza.Aliyetaka ushauri, asipokuelewa,basi shauri lake.
  11. B

    USAID imeondoka - Nini Kifanyike Sasa

    Safi mkuu lakini Dambisa Moyo anatoka Zambia sina uhakika na hiyo Nigeria
Back
Top Bottom