Recent content by buchenza

  1. buchenza

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

    Huyu Jammaa chizi kweli wewe una kesi mahakamani alafu unaambiwa kaite conference ukiri makosa , hukumu imetoka mojawapoya ushahidi ni kukiri kwako azarani alafu unalalamika
  2. buchenza

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Mungu amemusaidia miaka 30 si mchezo
  3. buchenza

    JamiiForums Tanzania Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Wamuulize katabi akiwa bamvicha alikimbia pale Sinza kipindi cha changia Damu Tindu lisu alijikuta yupo mwenyewe
  4. buchenza

    JamiiForums Tanzania Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

    Mimi Jana Nimeangalia Ilipofika saa 3na dakika kazaa Azam wakaizima baadae naangalia kwenye mitandao kumbe wamepigwa marufuku kuonyeshwa inamman Azam walikuwa wamechelewa kuiondoa
  5. buchenza

    JamiiForums Tanzania Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

    Hiyo staili yake nadhani ndiyo imemfiksha hapo akiondoa hayo manjonjo atakuwa siyo Mpenja tena
  6. buchenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: A Woman of the people

    welcome madam tulikumiss
  7. buchenza

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    Labda Ndugu yetu Mfumo wa Malipo TRA huujuwi Vizuri, ukiwa unafanya malipo kuna wengine wanaenda TRA anaomba control, wanamtengenezea na kumwekea bank atakayo kwenda kulipia, hapa sasa inategemea TRA kakchagulia Bank gani, hii ndiyo system wengi wanayo tumia. Wengine wamekuwa registered na TRA...
  8. buchenza

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ali Kiba amerudi nyumbani

    Kwani Luna nini cha ziada tueleweshe
  9. buchenza

    JamiiForums Tanzania God Save Magufuli

    Alikuzulumu wewe kama wewe au story
  10. buchenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania ni waelewa sana, 2020 tunachagua maendeleo

    Amekufanya nini mkuu
  11. buchenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania ni waelewa sana, 2020 tunachagua maendeleo

    Hongera mkuu
  12. buchenza

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Hali inaaza kuwa tete
  13. buchenza

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Maana naona giza huku mabibo
  14. buchenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unakojoa chini ya dakika 7 elewa kabisa kwamba humridhishi mwenzako kabisa

    Hivi jamani mnaochangia humu ma umri gani maana nashindwa kuelewa
  15. buchenza

    JamiiForums Tanzania Tanganyika tuna Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) wawili wawili na mishahara tunawalipa wote

    kwani kazi ya ukurugenzi inaombwa ? si unateuliwa sasa aliyekuteua akiamua kutengua inakuwaje
Back
Top Bottom