Recent content by bu6nchege

  1. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Magereza Ukonga apandishwa kizimbani

    Sawa Sheria ifuate mkondo lkn Kwa kipindi hiki mahakama zetu zinanukia kabisa kuua uzalendo wa kuaminika na jamii ktk utoaji haki Yani wanasikiliza maelekezo zaidi kuliko kujisimamia Kwa misingi ya Sheria na miongozo kwa mujibu wa katiba
  2. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Ye mwenyewe ni mwanasiasa Kwa sababu hakuna chuo Cha naibu waziri mkuu Wala hakuna chuo Wala shule inafundisha uwaziri vyeo vyake vyote ni vyakisiasa
  3. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Spana zitaendelea tu hatoki mtu kwenye reli Kwa sababu tunataka kuona utekaji ukikomeshwa na pia uwajibikaji Kwa viongozi walioshindwa waachie nafasi izo waje wengine wenye kulinda raia na Mali zao
  4. bu6nchege

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu nijinasue, mke wangu ananiendesha kama gari bovu

    Mwanamke mmoja pekee ni mama yako wanaobaki wote substitution muhimu ihusike
  5. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Bunge tu halina ushawishi ata wa kulifuatilia kiukweli anapotupeleka anajua yeye maana ata wanachama wenzie hawamuelewi anakowapeleka wameamua kuzingatia kaz zao wasitumbuliwe
  6. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Au unasemea ile vijana choir?
  7. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza ni tishio, kasi ya ukuaji ipo juu

    Ngoja nifanye upembuzi kwa kina jiandae kukutana nao muda wowote
  8. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza ni tishio, kasi ya ukuaji ipo juu

    Sizani kama utafiti wako umejitosheleza rudia tena
  9. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Wale mnaomshangaa Rais Magufuli kutosafiri nje ya nchi someni ya Tshisekedi

    Je? Unazifahamu sababu zinazomfanya asafiri?
  10. bu6nchege

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni player usifanye hili kosa

    Ni jambo jema sana kama angeendelea kutuma matumizi
  11. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

    manengelo, Rudi tupige siasa za kibongo
  12. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Nd Ndio inawezekana
  13. bu6nchege

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Punguzen muda Wa miaka 4 kwa wanao unga degree
Back
Top Bottom