Airport Mbona ni moja tu na watu hawalalamiki.
Stand ya magufuli kama ikitumika ipasavyo mji utaongezeka kukukua kwa KASI sana na selikali ikapata ongezeko la kodi.
Pole sana , baadhi ya askari ni waonevu wana roho mbaya sana kama sio binadamu . Madalaka ya kulevya ni mabaya sanaa. NDUGU YANGU ALIFUNGWA MIAKA 30 JELA kwa kosa la ajabua ajabu la kutungwa tu ila mungu mwema alikaa miaka 5 tu akakata rufaa akashinda . ( walimuangamiza bure kabisa)
Hakuna uhalisia wa hi kitu ni story ya kubuni , nipo kariakoo mwaka wa kumi sasa sijawahi kuona baya pale ! Maisha ya pale yanahitaji uaminifu tu! Biashara za kichawi zilisha potea zamani !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.