Wanaume tupo katika vita vikali sana. Tujipange!

Wengine nilikuta wanajadili kuhusu limbwata,

wanaambiana kuwa ukitaka kumteka mume, chukua kipande cha nyama na ukiweke matakoni usiku kucha, asubuhi chemsha na nyama zingine halafu mpe ale, hapo mume hataenda kokote utakuwa umemteka!
Imekuwa matakoni tena sio kwenye papuchi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wengine nilikuta wanajadili kuhusu limbwata,

wanaambiana kuwa ukitaka kumteka mume, chukua kipande cha nyama na ukiweke matakoni usiku kucha, asubuhi chemsha na nyama zingine halafu mpe ale, hapo mume hataenda kokote utakuwa umemteka!
Penzi la namna hii hata halinogi kwakweli

Mwache mtu akupende kwa moyo na akili zake

Sio kumfanya mtoto wamtu ndondocha
 
Wengine nilikuta wanajadili kuhusu limbwata,

wanaambiana kuwa ukitaka kumteka mume, chukua kipande cha nyama na ukiweke matakoni usiku kucha, asubuhi chemsha na nyama zingine halafu mpe ale, hapo mume hataenda kokote utakuwa umemteka!

Hahahaaa
 
Kipindupindu kikirudi kitaondoka na wengi.😂😂
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom