huo huonevu mkuu, sioni chamaana kabisa. nasikia tuh pesa zinatoka ktk masector mbali mbali ila sioni kbs. .... ex. HOSPTAL ATA DAWA YA MTOTO UNAANDIKIWA UKANUNUE PHAMACNY TENA UKUTE HIYO HIYP PHAMA NI YAMZEE SHAYO.HAHAHAHA kwl watu weusi ni shida.
Habari ya mchana ndugu zangu.
Tafadhali naomba ushauri mtoto wangu yupo na miaka miwili ameumwa ghafla, homa kali akiangalia anaangalia upande.
Hospital tumepima lakini hana ugonjwa je ndugu ni nini hiki.😥
[emoji184]Duh,,,,
1 + kusudio n kujifunza zaid
2+ uyu jamaa wa mankotena ngoja tumfanyie uchunguz wa sir baada ya hpo majb utayasikia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.