Recent content by bryanrt01

  1. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Dola moja ya Marekani kuwa sawa na Shilingi ya Tanzania 2,244/=, nini kinasababisha?

    Hizi akili za usiku, miaka mitatu ijayo au 2244.20 imedumu kwa miaka mitatu iliyo pita?
  2. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Lakini haisaidii kulingana na hali iliyoko Tanzania kwa sasa, kwanza me nadhani hiyo barua imepuuzwa tu na haiwezi hata kujibiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Ndo maana nikasema wafanye vitu ambavyo vitafanya sisi Watanzania kuamka kama hivyo kutunyima misaada na kadhalika Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Ndo maana nikasema wafanye vitu ambavyo vitafanya sisi Watanzania kuamka kama hivyo kutunyima misaada na kadhalika Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bryanrt01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unamtongoza mwanamke wa mjini unatuma vocha ya buku? Mngejua mnavyotukanwaga

    Pole Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Me naona Tanzania ya sasa hawawezi kwa sababu viongozi wa nchi hii kwa sasa hawapangiwi wakitaka kufanya chochote ndani ya nchi watafanya tu kwa sababu hakuna wa kuwapangia, nyie mliotuma hiyo barua mnajisumbua tu kwa sababu sioni kama itasaidia chochote, cha kufanya kama wanaweza kufanya kitu...
  7. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Unahoji kama nani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Inasikitisha ☹️☹️☹️ Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania WANAMME WA DAR MNA MATATIZO GANI?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani tafiti zingine inabidi ucheke tu, ebu niambie walitumia njia gani kubaini hilo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya viwanda na Kipanya

    Tunaenfelea vizuri kabisa nchi ya V wonder Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Uko wapi uzalendo wa Tundu Lissu kwa Nchi yake?

    Ukitaka kujibu au kukosoa maneno ya Lissu uhakikishe unaelewa siasa ya Tanzania vizuri, kwako wewe sijaona hoja hata moja tu ya kujitosheleza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Alietobolewa macho na scorpion amtosa mkewe na kusepa!

    Kwani ameweza kuona tena??
  13. bryanrt01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

    Huku hakuna mkweli rafiki yangu utakachoambulia ni maumivu tu
  14. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania MCGregor :Niko radhi kufia uwanjani lakini sio kupigwa na Floyd Mayweather

    Siyo mshindani huyo
  15. bryanrt01

    JamiiForums Tanzania Bashite wa leo ndio Manji, Ruge na Seth wa kesho

    Neno hilo
Back
Top Bottom