Maarab
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 415
- 257
youuuSoma vizur koment yako,
Afu uje uniambie nan kaja humu jamvini kwa mihemko na visirani!
NAWASILISHA
youuuSoma vizur koment yako,
Afu uje uniambie nan kaja humu jamvini kwa mihemko na visirani!
NAWASILISHA

Nape mpaka alinenepa Kama pipa, anatanguliza tumbo mbele na kudharau wapinzani sasa anasubiri benchBe the first to reply,
Ni sawa sawa na alivyokua Nape Nnauye enzi zake, ilikua kama CCM ndio yake vile, akitembea anajitutumua kisa tu Katibu Mwenezi anaembatana na GS Kinana kila mahali
Halafu kule Sengerema niliskia maneno ya MP Msukuma yakirudiwa" kama walivyomchukua mgombea wa dharura". Huwa wanalishana maneno ya kukejeli Wapinzani.Mkuu umetazama kwa jicho la mbali sana. Ulevi wa madaraka, visasi, ubabe na upambe hauna mwisho mwema.
Jambo zuri ni kwamba tunajenga nchi ya visasi, tutayaona na kusikia mengi
Kiboko kwa lipi?Kutoka ujengaji hoja mzuri kabla ya kubadili gia angani mpaka kuwa "nabii" wa kutabiri nani atakuwa nani??
Ama kweli JPM ni kiboko pia hii ni laana ya kubadili gia angani.
Laana hii itawatafuna mpaka mifupani.
Uhusiano wa TZ na Sauzi ni mzuri, wakiombwa arudishwe ajibu mashitaka ni ndani ya 24 hrs tu mtu anashushwa JKN airport!!Atakimbilia SA
Halafu wakijibiwa kwa hoja wanakuja na "haja" mipasho na kujionesha wao ndio wenye nchi kuliko wengine!!!Halafu kule Sengerema niliskia maneno ya MP Msukuma yakirudiwa" kama walivyomchukua mgombea wa dharura". Huwa wanalishana maneno ya kukejeli Wapinzani.
Ndivyo kina Coco wanavyoamini na wanavyotaka kutuaminisha mkuu!Wa milele ni Mungu tu.
Labda kwenye familia yenuLini wkt mkulu ni wa milele
Anajidanganya tu hakuna kitu kama hichoLini wkt mkulu ni wa milele
Mungu anajua kila kinachotokea nawaonea huruma wale ambayo wanamwamini binadam badala ya MunguKwenye visasi ni kweli kabisa.... yaani mimi ninavyoona watu wa upinzani wanavyoonewa hakika ni chuki kubwa sana inajengwa... na nivijana tu ndo wanayafanya haya ili kumfurahisha mkuu wetu.... kweli kabisa tumefikia huku?? Mkuu wa wilaya tu anaamua amsweke mtu ndani na inakuwa!!!! Daah Mokozi tuepushe na hili balaaa