Recent content by Bruda 1977

  1. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Haya sasa msimu mwingine ndo umeanza hivyo wajameni, ni mechi mbili mfurulizo tunaambulia Red cad badala ya magoli, je mwaka huu tutasalimika?
  2. B

    Msaada kwenye tuta!

    Habari gan wana JF! Ni shirika gani au kampuni gani inayoweza kunijengea nyumba kwa gharam nafuu? kwani mm nina kiwanja changu maeneo ya Mbezi, kina Title deed, waungwana nadhani mnajua kujenga nyumba bongo si rahisi sana kwa mishahara yetu ya kudunduliza. Nahitaji shirika au kampuni inyoweza...
  3. B

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Mweeeeeeeeeeee wajameni, kama ninyi mlioko US mnapata machungu, je sisi tulioko hapa TZ? Ningekuwa na uwezo, ningetafuta uraia wa nchi nyingine, hata hivyo bado hatujachelewa, Hayo maandamano sisi tunawaombea yafanyike kama mlivyokusuadia, manake Tz imepoteza mwelekeo sasa. Mungu tusaidie, Sikia...
  4. B

    Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

    Kwa namna nilivyoona comments za wadau, wengi wanaitaja IFM, kwa kigezo hicho nakushauri mpeleke IFM kijana wako. Shukrani jazeera!
Back
Top Bottom