Jabari zenu wana jf, naomba kwa mwenye idea ya Excel anisaidie functions zinazoweza kunipa majibu ya swali hili;
Qn;
Fundraiser
The third annual spring term “Care for Critters” fundraiser was a tremendous success! There were three posts for the event: a table in front of the Commons; a booth...
Hizi nadhani ni tabia hasa kwa wasichana wa umri kati ya miaka 19-23 coz wanajua bado wananaafasi kubwa yakufuatwa na wanaume wengi (umri unaruhusu), ila wenye umri kuanzia 24+ hawana maringo sana coz wengi wao wanakua na presha ya kuolewa...ndio maana wengi wao hua wanamegwa na kuachwa kirahisi...
Inaonesha una idea juu ya hii kitu mkuu, vipi, ilikujihusisha na hii biashara kuna hitaji lakua na app?, au unafungua account mtandaoni ili uwe na profile yako, Asante
Mkuu xplastaz nakushukuru sana...
Ningependa kufahamu hio 110,000/= ni bei ya Mbeya au Dsm...
Pili ningependa kufahamu huwa mna uza mpunga au mchele, kwamfano hio bei ni ya guniaa la mpunga au mchele?
Tatu naomba kufahamu ni mazao gani mengine yanayolimwa hapo Mbalali, na je kuna umwagiliaji...
Shoukran ndugu Varius..
Inaonesha kwenye hizo schemes au estates kunahitaji mtaji mkubwa sana [emoji3].., hii huchangiwa na nini hasa?
Pia nashukuru kwa kunitajia bei za mahindi na mpunga kwa debe...
Vipi kuhusu kwa gunia mkuu, ni around Tsh ngapi.
Pia nilikua nashauri tuendelee kufuatilia ni...
Hii biashara ya kusafirisha mazao pia nimewahi kuifikiria ndugu @shangoo, nadhani yafwatayo ni mambo muhimu kwa biashara hii, ingawa naomba kuongezewa mengine;
1. Kujua nizao gani linauzika kwaurahisi na bei ipo juu kwa msimu husika.
2. Kua na watu unaofahamiana nao maeneo unayopeleka mzigo...
Duh, aise pole sana...
Ahsante kwa ushauri mzuri....ila nahisi kipindi mnavuna, viazi vilikua vingi sokoni ndio maana bei ilikua chini kiasi hicho...au changamoto yakushuka kwa bei unahisi ilichangiwa na nini hasa mkuu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.