Recent content by browniz

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Makongoro: Serikali isijifiche nyuma ya IPSAS Accrual. Elezeni vizuri tzs 1.5t zilipo

    Francis nimejikuta nacheka ulivyosema wacheuwe..japo mishipa ya hasira imenijaa nikiiwaza PAYE yangu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Chukua 1.5T÷7B=____ usisahau na hizo chenji pia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Au ili waandae makaratasi?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai: Wanawake waliotelekezwa na wabunge wafike ofisini kwangu au waandike barua

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

    Hahahaaa...nyumbani kwa kibogoyo waupataje mfupa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunaporudi kazini jumanne.. Fao la kujitoa tusijisumbue kuulizia tena

    Hata ingekuwa 90% bado si sawa. Hela zetu wenyewe kwa nini kutupangia kiwango cha kuchukua? Khaa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wasio na vitambulisho vya uraia kutoruhusiwa kumiliki simu

    Waandishi wa habari wanaoenda kuwapiga picha na kuchukua taarifa kwa nini wasiwe wanauliza maswali ya muhimu kama hayo?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Neno la Asubuhi...

    Ubarikiwe.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 45 ya upelelezi

    Na mimi pia naomba uni tag plsss
  10. B

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Kaloleni Arusha kupitia CHADEMA ajiuzulu udiwani

    Isingenifikia...kafanya maamuzi yenye hasara kubwa kuliko faida. Labda viboko vingesaidia kurudisha akili
  11. B

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Kaloleni Arusha kupitia CHADEMA ajiuzulu udiwani

    Kura piga tu ndugu, ila si kwa wasioeleweka kama huyu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Kaloleni Arusha kupitia CHADEMA ajiuzulu udiwani

    Angekuwa baba yangu ningemtandika viboko!!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine....!!

    So?
  14. B

    JamiiForums Tanzania If your life was a book, What would the title be?

    Nimetamani tu kujua what is behind the title.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tovuti Gani ambazo naweza kuziamini katika matangazo yao ya ajira ?

    TAYOA ni nzuri pia.
Back
Top Bottom