Recent content by Brown Mduma

  1. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua fine za Latra endapo nitakamatwa napakia abiria kwa gari yangu binafsi

    Noah new model ni gari private sio commercial kwenye usajili na plate number
  2. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua fine za Latra endapo nitakamatwa napakia abiria kwa gari yangu binafsi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm nina noah new model kutokana na shida za usafiri mara nyingi huwa napakia vichwa(abiria) pale Magufuli na kuruka mkoani chapu nakurudi ila sijui ikitokea nimedakwa siku moja na Latra huo msala unaishaje au faini ikoje. Mwenye kujua anijuze
  3. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Vikombe vinalia kwenye cylinder head je ni vyakurepair au nibadilishe cylinder head yote

    ushauri wenu apo muhimu wakuu
  4. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

    Ulishapata
  5. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi kati ya hizi mbili inalipa zaidi kati ya Fusso Tippa Vs Coaster ya Kubebea abiria

    Wakuu nataka kufanya biashara mbili kati ya hizi niwe na fusso tipa la kubebea mchanga, kokoto, vifusi na n.k au niwe na coaster kwa ajili ya kubebea abiria kutoka wilaya moja kwenda nyingine au kutoa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Naomba wazoefu hizo biashara moja wapo mnipe muongozo mzuri...
  6. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu ataweza kuiflash simu ikiwa iko kwenye secure mode?

    Jana niliangusha simu yangu wakati nipo kwenye bodaboda nilichokifanya baada ya kuangusha niombe simu ya mtu na kuingia kwenye find my mobile na kui secure ambapo niliandika ujumbe mfupi wenye namba zangu zinazopatikana kwasasa ninachotaka kujua ni kwamba mtu ataweza kuiflash simu ikiwa iko...
  7. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mademu kama Hawa Wapo Kwel ama ni Ndoto Zangu tu🥱

    labda nimwage manii ila kojo[emoji3]
  8. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mademu kama Hawa Wapo Kwel ama ni Ndoto Zangu tu🥱

    Mm sio kikojozi bhana [emoji849]
  9. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mademu kama Hawa Wapo Kwel ama ni Ndoto Zangu tu🥱

    Nilikutana nae mara ya kwanza ndani ya Daladala za Mbezi mwisho .Nikamuomba namba ya simu baada ya salamu na maongezi akanipa. Tulipoachana nikampigia simu baada ya siku 2-3 nikamueleza ukweli kuw nmemuelewa na kumpenda.Baada ya mvutano wa siku nyingi hatimaye akanikubalia ombi langu. Siku...
  10. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Yupi ananifaa kati ya hawa wanawake watatu ukizingatia bado sijatoboa?

    Sio Wote wameoa wanawake wanaowapenda shehe Sometimes mtu anaangalia future ya huko mbeleni
  11. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Yupi ananifaa kati ya hawa wanawake watatu ukizingatia bado sijatoboa?

    Iko hivi, mimi nina wanawake watatu ambao nilikuwa nadate nao. Katika hao watu watatu mmoja yuko vizuri kiuchum, yaani anajiweza na ni mtu ambae ametokea kwenye familia ya kishua lakini ni mtu ambae ana matumizi ya pesa na anapenda sana vitu vya gharama, hata nyumba anayoishi kodi yake ni kubwa...
  12. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kutoka kwa Wazoefu

    Hili la kutunga mkuu
  13. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kutoka kwa Wazoefu

    ahaaa' ndio wako wap hao mkuu
  14. Brown Mduma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kutoka kwa Wazoefu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao hawakawii kukuabisha hadharani kwamba anakulea[emoji119]
Back
Top Bottom