Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
... na ambaye atakupenda kwa vipindi vyote.
Ulianza vizuri ila hapa mwishoni umeboronga. Utampata wapi katika wakati huu atakayekupenda katika vipindi vyote?
Mnajiwekea mategemeo makubwa halafu mambo yakiwa kinyume mnabaki na maumivu. Pata mwanamke mwenye vigezo ulivyojiwekea lakini haya ya eti sijui kupendwa vipindi vyote hayako realistic na huna uwezo nayo.
Focus on things that you can control. That's where your power is....
Ukifulia utaachwa tu!