Recent content by Brown Ambo

  1. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

    Hatujui ila pengine nae kwenye tar 29 nae alizika jamaa zake wa karibu.
  2. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Nimekuwa namkubali sana Yoga ila sasa naanza kumuona kama ana lake jambo sababu hii stori imeanza kuleta picha kuwa CEO wa sasa haya yaliyotokea hakuyabariki bali kalazimishwa na kundi la mtoa zawadi.
  3. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga alidokeza kuwa hawa jamaa wana dharau na wamedhamiria kubaki madarakani kwa njia yoyote ile.... Binafsi nimeanza kuamini.
  4. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hufikiria mfalme wa Uingereza ana mamlaka makubwa lakini uhalisia cheo chake ni cha heshima tu, kavuliwa mamlaka mengi sana, hana nguvu

    Mfalme\Malkia wa Uingereza ndio mwenye mamlaka makubwa kuliko mhimili wowote pale. Anaweza kulivunja bunge muda wowote akitaka.
  5. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Nimekaza kwa kujipa moyo yataisha ila sasa nimeshindwa maana mnayosema Kama yana ukweli hivi. Jumatatu naenda kumalizia elfu 30 yangu iliyobaki kwenye akaunti.
  6. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Sijui ilikuwaje sababu anaekaa dukani ni kijana wangu mimi nilipigiwa nikapewa maelezo ya kumuuliza kijana wangu lakini nikaona bora kila mmoja nimpe namba wawasiliane. Kikubwa yule huduma kwa wateja aliniambia inaonekana ili jambo sio level zangu kwaiyo zaidi walichotaka kujua dukani aliekuja...
  7. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Sina uhakika ila inawezekana wamestukia kuna ujanja wanafanyiwa sababu namiliki mashine yao ya uwakala wiki hii walinipigia kuhitaji maelezo ya akaunti ya mtu imetoa hela kwangu bila idhini ya mhusika na inaonekana watu wengi imewakuta.
  8. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

    Na wale madokta wa kupewa inakuwa wamesomea wapi?
  9. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kijazi pale chini, ndio sehemu pekee Tanzania bodaboda wanafata sheria ya taa za kuongozea magari

    Kila nikifika pale natulia kwenye mstari kusubiri taa ya kijani, mwaka uliopita kuna pikipiki alijichanganya tumbo lilipasuka palepale.
  10. Brown Ambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Wapo watakaobisha ila tuliopitia vitimbwi vyao tunakuelewa vizuri sana.
  11. Brown Ambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi bwege.

    Unaeleweka vizuri sana..
  12. Brown Ambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Asiekuelewa ataelewa yakishamkuta...
  13. Brown Ambo

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Siipendi Marekani na natamani ianguke kwa sababu ya mabaya anayofanya duniani ila mtoa mada kaandika kishabiki sana.Umemuuliza kama kuongeza kodi kwa bidhaa zinazotoka China wanaoumia ni Wamarekani vipi na kodi iliyoongezwa na China kwa bidhaa kutoka Marekani kuwa watakaoumia ni Wachina wenyewe...
  14. Brown Ambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

    Mtoa mada umeandika ya moyoni mwangu ninayopitia sasa nimeamini kuna watu wana roho mbaya sana hasa wanawake.
Back
Top Bottom