Recent content by Brotherhood

  1. B

    Ombi: Ili haki itendeke Joseph Mkundi aondolewe kwenye Kamati ya kuchunguza Ajali ya MV Nyerere

    Nadhani awe shahidi tu wa kuhojiwa. Sio mchunguzi tena. Halafu kimbukeni kila anayetangulia kusema jambo likatukia huwa ni mtuhumiwa, hapa sijui vip
  2. B

    Spika Ndugai ajivunia CCM kuwa na PhD nyingi Bungeni

    Elimu iwe kazini kuleta maendeleo ya taaluma yake. Hawa wasomi wenye elimu zisizoleta mageuzi ya kiuchumi na kijamii si ndo wale wanaolia wakiachwa kwenye madaraka? Yaani hata kujiwezesha hawawezi hadi kusema nitaishije na kuomba huruma za mtumbuaji. Kumbe ujuzi ni msingi wa maisha aisee.
  3. B

    Spika Ndugai ajivunia CCM kuwa na PhD nyingi Bungeni

    Mbona wenye PhD wanamwabudu JK Nyerere ba ameondoka bila hata hiyo . Tunataka uwezo sio phd. Magu mwenyewe anawakelembesha kamma hawakwenda shule na anaonekana kuwafundisha.
  4. B

    Wanawake weupe vs Wanawake weusi

    Utashangaa wenginebni weusi kwa sababu ya kuungua na jua tu ila akiishi dar lo weupe. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    Ni kwamba watanzania ni wazembe kutembelea nchi za nje au ni Serikali inawabana kutoka?

    Watanzania wakijazana eneo mitaa hiyo itakuwa kila siku wanalindwa na jeshi kwa utundu wao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Elimu ya ufundi (TECHNICAL EDUCATION) ina vichekesho aisee.

    Kumbe hata michepuo ya ufundi ktk shule hizi hayatiliwi mkazo na wa masomo ya Sanaa na hawawezi kuyasemea na wengine wameanzisha masomo ya Historia jiografia na biolojia kwa lazima Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  7. B

    Elimu ya ufundi (TECHNICAL EDUCATION) ina vichekesho aisee.

    Fuatilieni huu uzi vizuri na nyie itawauma tu. Misingi ya elimu yetu sasa inasikitisha sana. Kuna shule zinaitwa Technical secondary school zapata Nane nchi nzima tena shule za historia kubwa tanzania. Wazee wetu walikuwa wanatamba na rlomu walizopata huko wakijiita mafundi mchundo(technician)...
  8. B

    Watanzania tuwe na huruma! Eti huyu mzee mhamiaji haramu wanampeleka rumande kwa kuishi nchini bila kibali

    Tatizo hatupigi hesabu ya matumizi yake akiwa rumande/jela. Nu hasara tu hawezi zalisha.p Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  9. B

    Mtatiro/Zitto: Sherehe za Bombadier zikiisha tuhesabu hasara za ATCL, tumelipa dola mil 60 kukomboa ndege zilizokamatwa

    Niliishi mahali fulani akaolewa mama mjamzito lakini wala ubwabwa walikuwa wanashangilia badala ya kuhuzunikia mwoaji kwa mimba isiyo yake. Waliumia alipozaliwa mtoto kabla ya miezi sita na akiwa amekomaa.wala ubwabwa hawkuonekana hata kutoa hongera. Tuko pamoja.
  10. B

    Huku pato la Mtanzania likiimarika, na uchumi wa viwanda cha ajabu watanzania 92 kati ya 100 ni wategemezi

    Acheni kumzungumzia Azory pengine yuko mahali anatusiklilizia tu iko siku atatokea tu, c mnajua wako watu huwa wanajitokeza wanasimulia kuwa waliwahi kwenda mbinguni wakarejea na ujumbe mzito. Tena wanaitwa waliofufuka na huwa wanatabiri yanayokuja. Akitokea kama ndondocha ataeleza su nabii...
  11. B

    Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Ss wewe unataks kuja nalo. Soma hii bibilia ni moja ya kitabyvjizuri cha story hii
  12. B

    Rais na Mwenyekiti wangu Dr. Magufuli,Mungu anakuona!

    Kama mgefikiri kama baba wa Taifa hili msingekuwa na laumu kwa Jpm. Mimi ni Mura, Tena Yego na Tata wa kutoka Mara. Ningelalama mimi Maana Baba yetu JK Nyerere sliwapatia nafasi vipngozi wengi toka Mara wakawa wanawapelekea maendeleo makubwa tu mnaolalama leo hadi wakabakia maskini na baba yao...
  13. B

    CCM na Newtons laws of motion

    Yaani hata wewe mkuu ukishajimilikisha kila kity na familia yako si rahisi kumwachi wa tumbo moja nawe. Maana ubinafsi ni sumu ya gaki na usawa. Si rahisi kunishawishi na familia yangu kwa lugha hata kwa kura nikuachie hivihivi labda uninyonge. Selfishnes lead to dictatorship.mkuu
  14. B

    Je, simu ni njia sahihi ya kumgundua mchawi?

    Ingia kwa kazi hiyo mwenyewe utuletee ugunduzi wako mie nipo ni iw Will hotnour you a doctorate.. Maana utakuwa umefanya utafiti wa kina. Tumia simu ya touch na set kwenye automatic photo na camera.
Back
Top Bottom