Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Acha ujinga mara kibao tu Ali kiba na diamond huwa anamshkuru Allah kwa kushinda tuzo tafuta interview zake..... Sasa unashinda tuzo kwa kuimba nyimbo za kuhamasisha ngono kma WAKA-WAKA alafu anamshkuru allah tena hadi akajenga msikiti na amepanga kwenda kuuzindua

Diamond: Kuna msikiti ninaujenga Mtwara | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Sumalee (Hakunagaa) na Mzee Yusuf wao wamerejea. Hakuna Muislaam ataendekeza ya Diamond.
Kiba na Diamond ipo siku watarejea. Haswa Kiba, kwani amesoma.
 
Kichwa cha habari kinamuhusu vipi Muhammad? Mbona unajichanganya? Kwa taarifa tu ni kwamba Mussa na Ibrahim walikuwa waislam. Hata Yesu alikuwa mwislam. Kama hutaki au hupendi chukua kamba ujinyonge!
Toa fact sio kung'ang'ania mambo mfano yesu hakufanya kazi siku ya sabato na aliitambua ,je bado huyo ni muislamu ? adamu alimtolea mngu sadaka ya kuteketeza wanyama nalo lipo kwenye uislamu ? Musa alitoa pia kafara za wanyama ,hii ipo kwenye uislamu? Mpaka leo Bini ya wayahudi ipo na wanafanya hayo na ni dhambi kwa mujibu wa mafunzo sahihi ya uislamu ,mmuanzilishi wa uislamu ni muhamad lugha yake ni kiarabu ,musa alikuwa anaongea lugha mbili kiegypt (mother tongue) na kiebrania ,Yesu aliongea lugha mbili kialamaic na kiebrania ,yesu na musa hawakuwahi hata kujua neno asalam aleikhum ni nini kama wasivyojua kisukuma.
Ni janja ya Mtume kujihusisha na wayahudi ili kuunganisha uislamu na adamu,ila hata leo israel 64 % ya waislaeli ni wadini yao ya kiyahudi waliyoabudu babu zao waislamu ni kama 20 %
Pia kwa uelewa zaidi hebu msomi mwenzangu fungua hapa
Adamic language - Wikipedia
 
Kumbe mnakubali sadaka ya kyteketezwa wanyama imekatazwa kwenye Quran. Hongera kwa kuanza kuutambua uislam.
 
Swali lako haliko sahihi

Ni sawa na kuuliza hivi Magufuli ni Msukuma au Muislam?
Kwa kuwa inawezekana akawa ni Msukuma pia ni Muislam
Inawezekana Mtu akawa Muarabu lakin pia akawa Myahudi Ila haiwezekani Ukawa Muarabu hapo hapo Ukawa Muisrael

Uarabun ni race lakin Uyahudi ni dini
Ingekuwa Mussa alikuwa muisrael au muarabu
Au Mussa alikuwa Muislam au Myahudi?
kisasa taifa chokozi la Israel kuna waarabu pia, wayahudi ndio jews, dini yao nadhani ndio inayoitwa Judaism, mwisho tukumbuke kutenda haki duniani.
 
Kumbe mnakubali sadaka ya kyteketezwa wanyama imekatazwa kwenye Quran. Hongera kwa kuanza kuutambua uislam.
Najua mengi yaliyopo kwenye quran ,hiyo haimaanishi naiamini ,ni kama wewe ambavyo ,unajua kwenye biblia sadaka hizo zimeruhusiwa na musa ,adamu na wanawe walizifanya ,Je nikupongeze kwa kuanza kuujua ukristo?
 
Kwenye biblia hakujazungumzwa ukristo. Wala huo ukristo siyo dini anayoijua mwenyezi Mungu. Watu Wameipachika jina tu.
 
Kwenye biblia hakujazungumzwa ukristo. Wala huo ukristo siyo dini anayoijua mwenyezi Mungu. Watu Wameipachika jina tu.
Pia kwenye torati hakuna neno uislamu ni neno alilolipachika muoaji vitoto Muhamad
 
Pia kwenye torati hakuna neno uislamu ni neno alilolipachika muoaji vitoto Muhamad
Ukristo ulitoka kwa wayahudi baadhi walikataa njia ya kristo wakaendelea na njia zao za kale (dini ya uyahudi isiyotambua uislamu na ukristo) ,uislamu ulitoka kwa waarabu wasio na mahusiano na wayahudi
 
Kuna dini ya kweli na dini za uongo, kuna dini ya haki na dini za baatwil, Uislaam umekuja kushinda dini zote !
Mwenyezi Mungu anasema 'Dini ya haki ni Uislaam'
We cant compromise.
Unaona sasa why uamini dini yako ndio ya kweli na za wengine ni uongo

Kila mtu anaamini dini yake ndio ya kweli hayo maneno hata kwa waabudu sanamu nao watakwambia walitokewa na hyo sanamu ikawaambia yeye ndio Mungu wa kweli..... Sasa kati yako wwe na wale nani mkweli?? How can we prove that ur religion is true and mine is fake

Tujifunze religious tolerance haya ya kusema Dini ya haki ni uislam nikikwambia uprove utaweza kwamba yalitoka kwa Mungu?? Mie naona huu mjadala mrahisi sana siku iitishwe kongamano dini zote alafu kila mtu aite mungu wake ashuke kama alivyofanya Nabii elia mjadala utaisha ila haya maneno maneno ya makaratasi sioni kama yatasaidia lolote
 
Sumalee (Hakunagaa) na Mzee Yusuf wao wamerejea. Hakuna Muislaam ataendekeza ya Diamond.
Kiba na Diamond ipo siku watarejea. Haswa Kiba, kwani amesoma.
Basi kama kiba na diamond wamepotoka ndio hivyo hivyo hao wavaa uchi wanaoomba ''kikristo'' nao wamepotoka mbona its that simple!!!

Kwanini useme waislam hawana huo ujinga.... Hivi ina maana waislam wote nchi hii ni perfect!! Kikwete mbona alikuwa fisadi basi tuanze na huyo ingawa alijiita Al haj!!

Tusipende kufungamanisha madhaifu ya mtu mmoja na dini anayotokea..... Tufuate mafundisho yanavyosema tuyakosoe ila sio matendo ya mfuasi
 
nipe kifungu maana wenye torati yao ni wayahudi na hawajui kiarabu na islam ni neno la kiarabu استسلاما ,musa hakuwahi kukijua kiarabu wala yesu
Uliwaona au kukutana nao wakakwambia hawakujua kiarabu?
 
Kuna aya ya bwana wetu yesu inasema.

Amini nawambieni,wengi watakuja kwa jina langu wakisema,"Mimi ni KRISTO,WATU HAWA WATAWAPOTOSHA WALIO WENGI"

tafsiri kutoka katika english

"many will come in my name,saying,IAM CHRIST and they will deserve many"
 
kabla ya kuzaliwa kwa yesu,uzao uliopita wakina daudi,suleiman,ibrahim.....walikua ni dini gani?
 
The aramaic word for God in the assyrian christian language is Elaha or Alaha.

God for arab christian today
-Allah al ab=God the father
-Allah al ibn=God the son

-Allah al ru al quds=God the holly sprit.

Jesus before death called God=Elloh elloh.

Acient hebrew the most high God=El

arab for God Even before mohamad=Allah.

Actually tunaabudu mungu huyo huyo mmoja,tofauti ni namna tu tunavyomuabudu
 
Kama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??
kwenye quran sehemu imeandikwa yesu(nabii issa) ata hukumu ulimwengu,tupe aya
 
The hebrew word,"mushlam" comes from root "sh L M"

"shalom" which come from the same root means "peace"

the arabic word,"muslim" comes from root "SLM"

"Salam" means "peace"

"salem" means "safe"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom